Team ya wapiga deki mpooo!

afu wanakumbukaga usoni tu upate bahati umchungulie t..a..k..o !!

Hahahaaa, wanaume wanaowavua pichu wana shidaaaa....
Ama kweli kuzaliwa mwanaume matesooo kuhangaikaaaaaa!
 
umeongea kweli... ngozi za waafrika ni nzuri sana sijui nani kawaloga baadhi na kubadilisha ngozi zao
 
Halafu ulivyosema wazee wa deki mm nilijua wale wa chumvin na kuleeee 0713
 
Tatizo wanaume wanatafuta wanawake weupe haswa kule usukumani
 
Hahahahah... snowhite pliiiz nikilazwa na hizi mbavu huniletei hata uji wewe p.mb.fu dhako
zis is very serious ujue!
sa we yule si unaeza zani ni haf kasti sema tu badala ya kumix atoke point 5,yeye genes zake usoni zimejiformulate nyeupe huku kwengine nyeuthi!
 
Last edited by a moderator:

Kilichonifurahisha zaidi ni kwamba hii thread imeanzishwa na mwanamke. People do not want to be what they are. What a shame. Tukiancha hii habari kwamba wenzetu wasukuma wanapenda wanawake weupe (naamini siyo wa mkorogo) hivi kuna mtu kafanya utafiki kuona kwamba waliojikoroga wana nafasi kubwa ya kuolewa? Nafasi kubwa ya kubanjuliwa ipo lakini kwenye ndoa nina wasiwasi.

Kinacho leta kero zaidi ni wanawake ambao ni wasomi kuingia kwenye ulimbukeni (sijapata jina sahihi) huo. Hata baadhi ya viongozi wakiwemo wabunge. Hao wote pamoja na wasanii ndio wangekuwa mfano kwa wengine lakini ndio balaa. Kinyaa ni pale unakutana na dada mwenye mkorogo lakini umegoma sehemu fulani fulani. Usiombe kutia macho huko, jamaa atanywea bure!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…