Team ya wapiga deki mpooo!

heri yangu mimi mweupe gete gete originale sijajipiga deki lol
cc mwallu
 
Last edited by a moderator:
Tumezidi kua malimbukeni sana.. !kiasi kwamba tunamkosoa mungu uumbaji..as a woman namshukuru mungu kwa rangi yangu aliyonipa lol...!
 
Is it OK to relax my hair (from my African texture to completely straight)
Is it OK to wear wigs and add extentions, weaves, braids etc
Is it OK to have fake nails, fake eyelashes, wear colored lenses,
fake hips and butts (za kubaa au za masindano), fake breast-pushing bras,
Is it OK to have even a fake western name and call myself XXX wa bongo
If all that is fine then isn't it normal to move forward and have the complexion that matches it?
Kwa mtazamo wenu was Vera Sidika "natural" before? with those hair? those hips?

Wanaume nao acheni kuwasema wanawake wanao bleach,
most of you seem to like light-skinned ladies!

cc AshaDii theboss Kongosho King'asti et al
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka uzuri shurti udhurike!!! Sijui ni nani aliyewadanganya dada zetu kwamba ili kuonekana mrembo hivyo kuwavutia njembas lazima uwe rangi ya chungwa na wale ambao hawakujaliwa rangi ya chungwa basi ndio wanaamua kujisiliba mkorogo matokeo yake ni vituko vya kutisha.

 
Jiwe Gizani hilo....mkorogo wa bei rahisi akitoka hapo asubuhi,mchana jua lake matokeo yake rangi sio Pepsi Fanta tena ni Rainbow kabisa bora hata upo na kipupwe(gari)huna basi unajistiri na Bajaj kama huna uwezo. Mie binafsi mtu anayejichubua sitaki hata niwe karibu yake ile harufu ya maCream tu huwa nasikia kichefuchefu.


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Kuna sura huwa lazima niwaoneJF waComment lakini kwenye Uzi huu sijaziona kabisa,,,teh teh teh jiwe Gizani afu mtu ka itikia YALAAA


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 

Hahahah duuuh huyo dada anatiaje huruma sasa....
 
Reactions: BAK
Huyu naye utadhani katekwa ghafla kumbe anapiga chafya
 

Attachments

  • IMG-20140623-WA0000.jpg
    33.6 KB · Views: 103
Reactions: BAK

Halafu sasa ukiwa nao faragha ndo namba moja kukimbilia kuzima taa kuficha ramani zao huko chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…