Robert James Masunga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 414
- 395
North Korea anaweza kuwa na kila silaha. Lakini nnauhakika hana maarifa ya kijasusi ya kusimamia vita akashinda. No wonder hata juzi msemaji wao wa mambo ya nje akaanza mikwara bubu. Hizo kelele tuliwahi sana kuzisikia kwa Saddam Hussein (RIP), Muamar Qaddafi (RIP) na hata kwa Ustaadh Usama Bin Laden (RIP). Haikusaidia. muda ulipofika tunajuwa what happened.
Sisi hatuombei vita. Mungu aepushie mbali. Ila sasa kama hakuna namna tufanye je? Inabidi tumbadili huyu madenge kutoka Kim Jong Un kuwa Kim Kardashian.
au mnasema je Team USA?
Sisi hatuombei vita. Mungu aepushie mbali. Ila sasa kama hakuna namna tufanye je? Inabidi tumbadili huyu madenge kutoka Kim Jong Un kuwa Kim Kardashian.
au mnasema je Team USA?