Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,646
- 4,489
Huyu kim nadhani aijui us vizuri mm nipo team us
siyo uoga mkuu. ni strategy. kuna mtangazaji wa BBC ameonekana akiwa anaripoti hafla ya shada za maua Pyongyang japo hairuhusiwi.Vita bado tu Nao USA waoga tu
Kim anaombaMsiombe vita......
Nimecheka sana asante bhana[emoji1]Bora tujadili ya wa marekani sasa maana sisi mpaka leo tunahimizana kuchimba mashimo ya vyoo.
Eti halinaaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ila ka NK ni kakorofi. Acha kale makwenzi pengien akili zitakusanyika. Inaonekana bichwa kubwa lenye kiduku halina coordination.
Hata mimi ni team NK. Ni lazima kutofautisha NK na waarabu. waarabu wengi ni vibaraka wa US, kwa hiyo inapotokea vita waarabu wengi wanamuunga mkono US.Mie team NK hao uliowataja woote waarab na Mzee wa kiduku sio mwarab so watch it