Team USA Hatushindwi - Njoni tuyajenge

Team USA Hatushindwi - Njoni tuyajenge

North Korea anaweza kuwa na kila silaha. Lakini nnauhakika hana maarifa ya kijasusi ya kusimamia vita akashinda. No wonder hata juzi msemaji wao wa mambo ya nje akaanza mikwara bubu. Hizo kelele tuliwahi sana kuzisikia kwa Saddam Hussein (RIP), Muamar Qaddafi (RIP) na hata kwa Ustaadh Usama Bin Laden (RIP). Haikusaidia. muda ulipofika tunajuwa what happened.

Sisi hatuombei vita. Mungu aepushie mbali. Ila sasa kama hakuna namna tufanye je? Inabidi tumbadili huyu madenge kutoka Kim Jong Un kuwa Kim Kardashian.

au mnasema je Team USA?
Mkuu ulichokiandika hapo ni sahii kiasi ila tu unatakiwa uendane na mabadiliko ya kisayansi na kiteknolojia. NK si nchi ya kubeza kabisa na kumbuka vita ya Wamarekani dhidi ya nchi zingine mara nyingi hupiganwa nje na mbali kabisa na nchi yao(USA), Sasa kama NK wao wakiamua kupiga palepale ndani kwao itakuwaje? Hali inaweza kuwa ngumu sana kwa Warekani maana hawajazoea vitu kama hivyo live nchini mwao.
 
north korea wamepaniki. tuache kwanza makachero wafanye kazi. uhakika ni kwamba siku washington watakaposema 'pigeni' all will be in order.
 
Kwanza kiduku hana Ubavu wakumtokotesha Mmarekani kivita marekani wazoefu kwa vita na propaganda wanazijua.. Angalia jana tu Bomu lake limebuma kuruka alafu ndo anatenga vita hajaanza hata kushambuliwa kitu kinabuma ataweza mikiki
ebu thibitisha kama kweli bomu lilibuma hivi unajua mbinu za kivita ww wa kolomije?
 
Nakwambiaje??? Hakuna hata ndege moja tuu ya us itakayoangushwa pale....mapanki atachapwa kama mtoto
 
Team U.S hapa,na mimi nipo hapa kama Mkuu wa Majeshi ya Marekani Korea,General Vincent Keith Brooks. Yule Kiduku tutamnyoa kwa msumeno kiduku chake.
 
TRUMP MIKWARA MINGI SIUSHAPELEKA VIFAA ANZISHA BASI KAMA WEWE MWANAUME ALAFU UONE WATU WATAKAVYO MVUŔUGA MARINDA. WATU WANAO JIAMINI HAWATISHIKI NA TEST ZINAENDELEA KAMA KAWA. CHEZEA VIDUKU WEWE!!!
 
Tatizo USA akipigwa uchumi wa dunia unadorora tukumbuke ilivyokuwa baada ya september 11. Tanzanite haikuwa na pa kupeleka
 
north korea wamepaniki. tuache kwanza makachero wafanye kazi. uhakika ni kwamba siku washington watakaposema 'pigeni' all will be in order.
Mkuu si kirahisi rahisi unavyodhani NK wale jamaa wamejitosheleza sio wa kuendea kichwakichwa.
 
Hivi uko north Korea c ndo wanatengeneza hizi simu za Samsung? m lazma niende nkajiokotee s8+ kabisa vita vikiwa vinaisha isha fursa hii
 
naomba usajili timu hii

watakao pata shida hasa ni Civilians wa NK, Japan na SK ila ka mapanki hakawez mfanya lolote US
Haya huyo unayedai hawezi kufanywa lolote keshasepa! Chezea mapànk weye! Maspy wao wamepima MAJI wakaona kina kirefu! Wakasepa Mdogo mdogo kama ifuatavyo!
 
naomba usajili timu hii

watakao pata shida hasa ni Civilians wa NK, Japan na SK ila ka mapanki hakawez mfanya lolote US
Haya huyo unayedai hawezi kufanywa lolote keshasepa! Chezea mapànk weye! Maspy wao wamepima MAJI wakaona kina kirefu! Wakasepa Mdogo mdogo kama ifuatavyo!
 
Team U.S hapa,na mimi nipo hapa kama Mkuu wa Majeshi ya Marekani Korea,General Vincent Keith Brooks. Yule Kiduku tutamnyoa kwa msumeno kiduku chake.
Haya team USA teteeni huo msepo wa mimeli iliyokuwa inaelekea korea! Au mnajifanya hamjasikia kuwa marekani keshasepa tayari? Chezea mapank weye!
 
Back
Top Bottom