Team Lowassa wazidi kupigwa chini ubunge CCM

Team Lowassa wazidi kupigwa chini ubunge CCM

Hao hapo Juu Ni Safi Sana Maana Walikuwa na Kieleele sana Bungeni. Wasubirie Kujiunga na Sisi Maana Ukuu wa Wilaya CCM Ikishindwa Hawana Nafasi
 
Simbachawene, Juma Nkamia nao ni tia maji tia maji
 
Hao ni mmja wa wabunge ovyooo saana... Asa uyo pindi Chana
 
Bado Mzee Kangi Lugola, Sophia simba, n.k n.k. sijui watawafanyaje. Ccm siyo chama cha siasa jamani!.
 
wasira na yeye hatakiwi hadi anarusha ngumi kwenye vikao
 
wabunge wanastahili kukosa kabisa nafasi ni pamoja na Wasira, Asunta mshana (mbunge waNkenge) , kandege(Kalambo), Arfi( mpanda mjini) Simbachawene na wote wa viti maalum wakiongozwa na Leticia Nyerere!!
 
wengine wasiotakiwa kurudi bungeni ni pamoja na Ummy mwalimu, mwigulu nchemba, murtaza mangungu hawa ni baadhi ya wabunge ambao ni adui kwa usitawi wa taifa la Tanzania
 
na bado sie kwetu kuku tuu....auntie suzy yuleeee bungeniiii
 
wabunge wanastahili kukosa kabisa nafasi ni pamoja na Wasira, Asunta mshana (mbunge waNkenge) , kandege(Kalambo), Arfi( mpanda mjini) Simbachawene na wote wa viti maalum wakiongozwa na Leticia Nyerere!!
Kwa Pindi Chana hata mimi naunga mkono, kuna mwingine mwarabu koko wa Kishapu sijui anaitwa nani ni bogus sana huwa hana point zaidi ya kujiita mbunge shapu, hana tofauti na wabunge wa viti maalumu.
 
Hadi sasa Pindi Chana, Diana Chilolo, Shamsa Mwangunga na Lediana Mng'ong'o wameshindwa katika kura za maoni viti maalum. Unaweza kuwaongeza pia Nchimbi, Ole Medeye etc etc.

Pindi chana hakuwa team Edo
 
Muamko kama unapata kasi sasa inabidi hadi wa upinzani mizigo piga chini wasiende kukaa tu kisa mkwe wa nani sijui kaka yake kafanyaje. . . .Oonh binamu yangu sijui imefanyaje. . . . .Iwe miaka mitano tu kipindi kinachofuata asake jimbo maana uzoefu na mtaji tayari wanao sio mtu viti maalum miaka kumi. . . . . !!!! Wengine wataingia lini kwenye tanuri???!!!

Wananikera sana wabunge wavivu ni wanyonyaji kabisa
 
Back
Top Bottom