I can not imagine how Tanzania will look like under the leadership of this Vulture Lowassa.I can only imagine one thing happening NOTHING WILL BE LEFT BEHIND when he is gone.
mkuu umekosea sana kuleta huu uzi hapa manake zaid ya matusi hakuna hoja itakayojadiliwa hapa. lakini mimi bado nauliza watanzania wenzangu.................
Hivi kweli kuna mtu anakataa kabisa kwamba Lowassa hawez kuwa rais wa Tanzania??
kila siku huwa naskia tuhuma zake lakini sijawah kuona evidence kwamba kweli alihujumu ama alifisadisha nini zaid ya watu kusema tu na wakati mwingine kuweka maneno ya uongo kwenye kinywa cha
gfsonwin nina hoja pinzan kdgo hapa: Ile ripoti ya kamati ya bunge iliyochapwa magazetini kuhusu sakata la richmond uliisoma? Involvement yake pale unaizungumziaje? zile barua na yale maagizo kasingiziwa? Kama kasingiziwa tusaidie ushahidi? Msabaha nae alimtungia? Kama wewe una evidence anasingiziwa bas ni heri ukazisubmit kwanza kabla ya kusema evidence zilizowasilishwa bungeni ni uongo. Binafsi yapo ninayomkubali Lowasa hasa kwenye maamuzi na utendaji lakini pale penye kasoro pia nitapaongelea no matter how good he is ndivyo siasa ilivyo hiwez kua na kiongozi mweye slop ya mazur tu bila kukuta curve ya mapungufu yake. Kiujumla katika mapungufu yote mtu mwenye mapungufu ya wizi hafai kushika madaraka ya nchi rasilimali na vyote vyenye tija kwa uchumi wa nchi vitakua hatarini..!!! I remain to be corrected. Nawasilisha
mossad007 unless kma huwa sielewi manake sijaona apopote pale ripoti ikisema lowassa kaiba na bado nakubaliana ingawa kulikuwa na mapunguafu ya richmond lkn lowassa uhusika wake ni indirect na ndio mana mpaka leo hakuna ushahid wa kutosha juu yake.binafsi hat kama ni mwizi lakini lowassa ndiye mtu anayetakiwa aiongoze hii nhi hata kwa miaka 5 tu watu washike adabu.
mossad007 nafikiri sasa umenileta nilipokuwa napataka manake kama yeye alisaini tu ni wazi kwamba hata rais wetu alihusika sio?? na yeye kawa mbuzi wa kafara kwasababu ya cheo chake tu ila yyte yule ambaye angekuwepo lazima angeangukia hapo.
to me bado raisi atakayetufaa nasema ni Lowassa na waziri mkuu awe Mmwandri na waziri wa fedha awe Mangufuli
na mimi naongea facts PM anawajibika kwa nani?? kwa raisi je wafikiri anaweza kufanya jambo lolote pasi raisi kujua?? haya taarifa za ndani kabisa ya kikao ambacho lowassa alisema anajiuzulu alitamka wazi kwamba mhe. raisi mm nimefanya jambo gani ambalo wewe hukulijua?? ni wazi kwamba raisi alijua alichokifanya lowassa lakn ili kuinusuru nchi isirudie uchaguzi basi ilikuwa ni wazi kwamba lazima angeresign na jambo ambalo mm naona alikuwa sahihi sana.gfsonwin mimi naongea kwa evidence na si hisia.. Evidence yangu ni ripoti iliyotolewa na Kamati ya iliyoundwa na Bunge katika ripoti ile sijaona sehem rais anatajwa! Na ningeona ningekwambia! Ila ndo mana tunasema hapa fact ni muhimu kuliko hisia na maneno matupu kama una evidence ya Rais kuhusika itakua njema mana hakuna Mtanzania atakayetetewa kwa kuwafanyia udhalimu watanzania binafsi uyo Rais wala uwa simsupport mana anameng ya kuyahoji lakini hapa topic ni nyingne.. Kwa Mwandri kwa kweli tupo pamoja bwana Magufuli sawa kbsa ingawa naye ana yake lakini tukipima mapungufu na mazur yakizid mazur bas ni sawa na kura ya weng kwa kweli kwangu Lowasa kwenye Urais hapana wako watendaj weng wazur wenye maamuz mazito lakini ile kashfa ilinipunguzia iman kwake ingawa simchukii nampenda kama kiongozi shupavu!
na mimi naongea facts PM anawajibika kwa nani?? kwa raisi je wafikiri anaweza kufanya jambo lolote pasi raisi kujua?? haya taarifa za ndani kabisa ya kikao ambacho lowassa alisema anajiuzulu alitamka wazi kwamba mhe. raisi mm nimefanya jambo gani ambalo wewe hukulijua?? ni wazi kwamba raisi alijua alichokifanya lowassa lakn ili kuinusuru nchi isirudie uchaguzi basi ilikuwa ni wazi kwamba lazima angeresign na jambo ambalo mm naona alikuwa sahihi sana.
kimsingi ninaamini barua alizosaini hata mhe rais aliziona na hawez kupinga hili.
gfsonwin mimi naongea kwa evidence na si hisia.. Evidence yangu ni ripoti iliyotolewa na Kamati ya iliyoundwa na Bunge katika ripoti ile sijaona sehem rais anatajwa! Na ningeona ningekwambia! Ila ndo mana tunasema hapa fact ni muhimu kuliko hisia na maneno matupu kama una evidence ya Rais kuhusika itakua njema mana hakuna Mtanzania atakayetetewa kwa kuwafanyia udhalimu watanzania binafsi uyo Rais wala uwa simsupport mana anameng ya kuyahoji lakini hapa topic ni nyingne.. Kwa Mwandri kwa kweli tupo pamoja bwana Magufuli sawa kbsa ingawa naye ana yake lakini tukipima mapungufu na mazur yakizid mazur bas ni sawa na kura ya weng kwa kweli kwangu Lowasa kwenye Urais hapana wako watendaj weng wazur wenye maamuz mazito lakini ile kashfa ilinipunguzia iman kwake ingawa simchukii nampenda kama kiongozi shupavu!
Mkuu mbona unang'ania sana kuhusu ripot ya kamati , lazima ujue kwanza ile kamati iliundwa kwa lengo gani hasa, ni jambo lilowazi kamati haikufanya kazi yake ipasavyo kwani mwenyekit wake mwenyewe yeye binafsi alikiri mbele ya bunge ya kwamba mambo mengine makubwa amechelea kuyasema mana yangevunja nchi, hapa ndo kuna utata hasa ukilinganisha na maneno ya Lowassa binafsi akihoji kutulumiwa kuwa fisadi na viongozi wa chama husika na kwa pesa za chama akimuuliza mwenyekit wa chama kwamba hakumshauri kuhusu kusitisha mradi huu ila mwenyekit akakataa.. Ninachomanisha anayehusika na richmond baadaye Dowans si Lowassa ila ni Mwenyekiti almarufu Mzee wa kaya ila kutokana na unyeti wa nafasi yake ikaonekana Lowassa atwikwe mzigo, lakini hapo kunakuja kuwa na utata wa spika Sitta ambaye alishadadia sana suala lile hata kufikia kusafisi na funguo ya ofisi, na hili ni jambo lilochangia kupigwa kwake chini uspika, ninachokiona ni tamthiliya ndefu iliyojaa visasi na woga na siasa maji taka ila kwa mwenye kufikiri atajua na kuelewa wazi Muhusika wa Richmond baadaye Dowan ni mzee wa kaya na jamaa zake. Ya Lowassa na kutosa uwaziri mkuu ni kuzungukwa na mkubwa wake, namanisha mkuu wa kaya alimtupia zigo Lowassa na kutokana na jamaa kuwa mtu wa maamuzi magumu hakuogapa kubwaga uwaziri mkuu..Ni yeye pekee katika taifa hili ameweza kufanya hivyo wengine ni Mwinyi na Mrema ila walikuwa ni just ministerz... Kuna kashifa kubwa kuliko hiyo Richmond kama Meremeta na IPTL ila hakuna anayeziongelea, jiulize why?? kuna mambo ambayo hatuwezi kuyaelewa bila kuunganisha dot..Majungu na hakuna kingine, LOWASSA KAACHIA UWAZIRI MKUU MANA ALIPISHANA MAWAZA NA MZEE WA KAYA,
Mkuu, nisome nilichosema ni kwamba kuna sinema ndefu kuhusu mradi tata wa Richmond, kuhusu PM kukubali mradi ni ubinadamu hakujua kinachoenda kutokea hasa inapokuwa anayeupigia chepuo mradi husika ni mkuu wako, hakuwa na njia nyingi except to accept, what i believe not far from this year as battles continue everything will come out.. i don't think if he will really accept to endure and bear this scandal alone, as we approach 2015 i myself anticipate alot to come.. LET WAIT 4 ANSWERS