Hivi hii migando ya mawazo kwa watanzania wenzetu itaisha lini? ni njaa zenu zinasababisha akili hazifanyi kazi au ni kweli hamna akili kabisa? mtu huyo ana makashfa kibao kubwa ya richmond then tunaendelea kumkumbatia? hakuna mtanzania mwingine out of 45,000,000 mwenye uwezo wa kuongoza taifa letu!
Hivi kwa sera hizi za CCM za kulindana , kuficha maovu, kupora nchi na kujenga class ya matajiri kweli Lowassa anaweza kufanya nini?Mimi nahisi kama kweli Watanzania tunataka mabadiliko ya haraka tunatakiwa tuchague sura mpya chama kipya kije kifumue syetem nzima iliyooza kuanzia mahakama,polisi., taasisi na idara za serikali ziundwe upya kwa ufanisi!!Njaa zenu ndizo zilizopelekea kusema jk alikuwa chaguo la mungu tumeona madudu yake kwa miaka 10 inayoisha, sasa naona njaa zilezile mnaanza kumpigia debe Lowassa shame on you all who support that thief!!!