Team kataa ndoa kama wako sawa hivi

😄😄😄😄

Kuna wasanii wa zamani kidogo waliimba ukiamua kitu chagua moja usijistukie.
1.Chagua kusua au kunyoa.
2. kula mke wa mtu au kuacha.
3. kusema uongo au ukweli.

📌Amua moja acha kujistukia, ila bear in mind utamu utausika wewe, na ikitokea umebambwa baby care au mate utapakwa wewe🤗

Mambo madogo kama haya mtu mzima hashauriwi.Ukiweza kuamua kwenye dillema situation kama hiyo bila msukumo wowote kutoka nje,basi jua umeshafanikiwa pakubwa maishani mwako!!!


#KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!
 
Hii timu iko sawa 100% ila ndio hivyo hatuna jinsi tutaoa tu kwa sababu zingine
 
Acha kutuchafua kataa ndoa, sisi ni kweli tuna mademu wengi na hii ni kanuni ya kuishi bila kumnyenyekea mtu kisa maku yake.

Infact lazima uwe na options za kutosha ukitaka kufanikiwa kwenye jambo lolote hapa duniani. Hivyo kuwa na option ya wanawake inakufanya uwe top notch, never simping to nobody for the sake of nyau!!!!

#KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!
 
Mwili wake uchi wake unalinda nn ?? Linda afya na kipato chako na watoto wako kwa wivu mkubwa!!!
Tunazichapa ila kitu cha msingi sio kuwaza anakusaliti au anatoka na nani, bali afya yangu na kibunda kiasi gani nitaspendi kuizagamua.

📌📌📌Kitu cha msingi ni kujua status yake ya GRID YA TAIFA,HEPATITIS B,KASWENDE,GONO.

Baada ya hapo ni kuzichapa mpaka nisikie harufu ya mishikaki Gademit!!!
 
Umekutana na Malaya hao, wake zetu wanajiheshimu
 
Red Me alianza hivi hivi sasa hivi anataka kuhasiwa🤣🤣

Dogo achanana hizi Kampeni usizojua Mwanzo wake na malengo yake
 
Red Me alianza hivi hivi sasa hivi anataka kuhasiwa🤣🤣

Dogo achanana hizi Kampeni usizojua Mwanzo wake na malengo yake
😄😄😄😄 Red-me Kanji bahi atakuwa alikuwa tungi. Kataa ndoa for life, we here to last longer!!!

Jamaa anataka kuwa billionea so ukute anaona ngeye ndo pingamizi yeye kufikia malengo yake.Wacha afanye anachoweza alimradi ni maamuzi yake binafsi.

📌Kataa ndoa ili ukiona mada za kuchapiwa usipate vipele vya baridi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…