Team kataa ndoa kama wako sawa hivi

Pole kwa kuondokewa na mke mkuu.
 
Mambo ni mawili tuu, wanaume tuoe single mother au Malaya 😂
 
Aisee
 
Ukiona demu umekuja kujuana nae akiwa na miaka kuanzia kumi na nane, ndo mnafahamiana asee sali sana mkuu, Kuna familia zime lea Mzee yani unamchukua mtoto akiwa hajui chochote kuhusu mahusiano ina mana anajifunzia kwako sasa we ukapalamie Binti asha kitembeza Kwa huyu mara huyu mara yule unadhani hapo Kuna ndoa bro
 
Oa bikra
Basi sawa...
Kuna jamaa yetu ana Fanya kazi barber shop ni kinyozi, alikua anatupa stori alioa Binti mwenye heshima mpaka familia Yao ina heshima balaa yani dini ipo ya kutosha lakini KESI kila siku mvuligano kila siku ACHA TU alikuja kuoa baadae kademu Fulani ka barmaid ndo akatulia jamaa anakwambia asee Bora kidogo nikashisha pressure kule ilikua mperampera
 
Haya unayoyasema na mkeo anafanya hayohayo.
 
Kila mmoja atapata wa kufanana nae, jiulize alioa mwenye dini yeye mwenyewe amesimamia misingi ya dini? Akampata barmaid manake ndio huyo wa kufanana nae
Basi sawa...
 
Oa bikra
Basi sawa...
Kuna jamaa yetu ana Fanya kazi barber shop ni kinyozi, alikua anatupa stori aliona Binti mwenye heshima mpaka familia Yao ina heshima balaa yani don ipo ya kutosha lakini KESI kila siku mvuligano kila siku ACHA TU alikuja kuoa baada ya kikao kademu Fulani ka barmaid ndo akatulia jamaa anakwambia asee Bora kidogo nikashisha pressure kule ilikua mp
Kila mmoja atapata wa kufanana nae, jiulize alioa mwenye dini yeye mwenyewe amesimamia misingi ya dini? Akampata barmaid manake ndio huyo wa kufanana nae
Basi sawa...
Huyo jamaa ni sheikh we unasema wakufanana nae tena swala tano huyo jamaa, tulikutaniana MSIKITINI ndo chanzo cha urafiki wetu, yule dada alikua kaacha kazi lakini mapito yake ashawahi kua barmaid
 
Mnajisifia kupewa mbususu za wake wa wenyewe mkipostiwa na Millad mpo kwenye viroba familia zenu zinalalamika
 
"Kila mmoja ni mjuzi wa nafsi yake" kuna ya siri na ya dhahiri. Point ni ile ile mwizi na mwizi mwenzie na mzinzi na mzinzi mwenzie.
Basi sawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…