TEAM BMX

Foxhound

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
28,740
Reaction score
76,383
Hebu leo tujikumbushe team za kipindi hicho watu wanapenda bike achana na hizi team za kijinga zilizopo sahv eti team ujinga ujinga.

Hii ndio team niliyowahi kuipenda, wewe je?


ᴹᵒᵏⁱˡⁱ ᵒʸᵒ ᵉᵗᵒⁿᵈᵃ ᵐᵃᵏᵃᵐᵇᵒ ᵉᵇᵉˡᵉ [emoji2986]
 
Kipindi hicho miaka ya 92 nipo zangu shule na marafiki zangu team BMX ilikuwa ni mwendo wa kukanyaga pedal tu, na tukipita lazima tuache stori BMX kama 30 zinaongozana kwa wakati mmoja [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

ᴹᵒᵏⁱˡⁱ ᵒʸᵒ ᵉᵗᵒⁿᵈᵃ ᵐᵃᵏᵃᵐᵇᵒ ᵉᵇᵉˡᵉ [emoji2986]
 
Nyie ndy mlikuwa mnatutesa mkipita uswaz
Kwetu, uwezo hatuna ya kuzipata alafu tunazi mind

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ndo hizi zilikuwa kushika break mpaka urudishe pedal kwa nyuma
 
Hivi ndo hizi zilikuwa kushika break mpaka urudishe pedal kwa nyuma
Kurudisha pedal nyuma au unakuta zina break ya nyuma pekee[emoji106]

e͕̓́s̤̓͝t̫͒̀-̭̅͝c͇ͬ̀e͎͂͞ ̡̘̔q̨̜̾u͙͂͢ẽ̷̯ ̣͆͜ṭ̡̈́u̶̖̾ ̯̈́͞m̡͕̄'̖̄̕a͉͆͘i̧͕͆m̛͎ͫĕ̸͍sͮ͟ͅ?
 
Wale wa Phoenix, Avon, Swala, Rajja nk tunakoment wapi.
Nyie mtulie tu thread yenu bado!

e͕̓́s̤̓͝t̫͒̀-̭̅͝c͇ͬ̀e͎͂͞ ̡̘̔q̨̜̾u͙͂͢ẽ̷̯ ̣͆͜ṭ̡̈́u̶̖̾ ̯̈́͞m̡͕̄'̖̄̕a͉͆͘i̧͕͆m̛͎ͫĕ̸͍sͮ͟ͅ?
 
Ili ujifunze Swala au flying Peugeot au Phoenix lazima umsubiri mshua alale ili unyate ndani na ukaiibee halafu mkajifunze na masela mbele ya safari, hizo Bmx za watoto wa kishua ingawa watoto wenyewe walikuwa maboya tu yaani walaini mno sababu ya midekezo ya wazazi wao.
 
Kumbuka hao watoto mnaowaita midekezo sio wote!

e͕̓́s̤̓͝t̫͒̀-̭̅͝c͇ͬ̀e͎͂͞ ̡̘̔q̨̜̾u͙͂͢ẽ̷̯ ̣͆͜ṭ̡̈́u̶̖̾ ̯̈́͞m̡͕̄'̖̄̕a͉͆͘i̧͕͆m̛͎ͫĕ̸͍sͮ͟ͅ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…