TEAM B-13 ushuhuda wangu juu ya supernatural powers

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,423
Reaction score
8,653
kwanza kabisa naomba nitoe pongezi zangu za dhati kwako Mshana Jr kwa ku-share hizi nondo zinazohusiana na supernatural powers bila kuwa-ds respect akina Kiranga rakims nk...solute's

Mm ni-mmoja kati ya watu ambao tumejaaliwa kuwa na supernatural powers nafanya mediation pia nimejaaliwa kuweza kuwa na Powers of mind ile nguvu ya ndani ku- wish baadhi ya malengo yangu na kuwa na furaha yani ndani nakuona kama nimeyatimiza am be honesty.

Nimekua nikijaribu kucontro vitu mbalimbali kupitia maind yangu ninauwezo wa kutabili jambo kabla halija tokea japo so kwa 89% naweza kumsoma mtu kabla hajaongea chochote, ninauwezo mkubwa wa kusoma tabia za watu wangu wa karibu

Pia naweza kusoma macho ya MTU nikisha angali macho yako naweza kujua unachoongea ni cha kweli au so kweli .

Bado sijawa mwalimu mzuri wa haya mambo naendelea kuyafatilia kwa ukaribu
 
kwanza kabisa naomba nitoe pongezi zangu za dhati kwako Mshana Jr kwa ku-share hizi nondo zinazohusiana na supernatural powers bila kuwa-ds respect akina Kiranga rakims nk...solute's

Mm ni-mmoja kati ya watu ambao tumejaaliwa kuwa na supernatural powers nafanya mediation pia nimejaaliwa kuweza kuwa na Powers of mind ile nguvu ya ndani ku- wish baadhi ya malengo yangu na kuwa na furaha yani ndani nakuona kama nimeyatimiza am be honesty.

Nimekua nikijaribu kucontro vitu mbalimbali kupitia maind yangu ninauwezo wa kutabili jambo kabla halija tokea japo so kwa 89% naweza kumsoma mtu kabla hajaongea chochote, ninauwezo mkubwa wa kusoma bord leagues

Si kwamba umejaliwa,wanadamu wote wanazo nguvu za Asili kilichopo wanazitumia vipi Kwa mema au mabaya,ukipewa elimu yeyote kuhusu hizi natural power unaweza zitumia usirogeke au kudhurika,mm huwezi niloga
 
kwanza kabisa naomba nitoe pongezi zangu za dhati kwako Mshana Jr kwa ku-share hizi nondo zinazohusiana na supernatural powers bila kuwa-ds respect akina Kiranga rakims nk...solute's

Mm ni-mmoja kati ya watu ambao tumejaaliwa kuwa na supernatural powers nafanya mediation pia nimejaaliwa kuweza kuwa na Powers of mind ile nguvu ya ndani ku- wish baadhi ya malengo yangu na kuwa na furaha yani ndani nakuona kama nimeyatimiza am be honesty.

Nimekua nikijaribu kucontro vitu mbalimbali kupitia maind yangu ninauwezo wa kutabili jambo kabla halija tokea japo so kwa 89% naweza kumsoma mtu kabla hajaongea chochote, ninauwezo mkubwa wa kusoma bord leagues

Pia naweza kusoma macho ya MTU nikisha angali macho yako naweza kujua unachoongea ni cha kweli au so kweli .

Bado sijawa mwalimu mzuri wa haya mambo naendelea kuyafatilia kwa ukaribu
Hongera, jitabirie tu lini noti zitakutembele.
Ukizipata nami nitakuja tuzisome wote.
 
hiyo nguvu ya kupata unachotaka kwa kuhisi umeshapata na kuanza kufurahia kua nacho kila mtu anayo sema wengi hawajui kuitumia
 
....Inafanyaje Kazi?

Yaani unahisi unachotaka kupata halafu unafurahia are you normal?( You want somethin' go for it )

Kwanini iwe ni kwa baadhi ya watu na sio watu wote waifahamu hiyo nguvu?

Mwisho acheni kuishi kwa matamanio, Marekani haikujengwa kwa matamanio, People sweat for it!

Alafu kuna mtu hapa ananiambia bangi ni nzuri, hebu subiri nimuonyeshe hili bandiko.

FANYENI KAZI.
 
....Acheni kuishi kwa expectation na muanze kufanya kazi Alaaah!
Hakuna miujiza inayokuja kukupa pesa bila kufanya kazi lazima utoke jasho

Powers of mind ni-ile hali inayokupa furaha ya kupigania malengo yako

Hakuna mtu wala kiumbe chochote kinachoweza kukukatisha tamaa ya kupigania malengo yako ni hali ya ujasili ambayo ipo ndani yako

Hata akiondoka MTU muhimu katika hisia zako haiwezi kusababisha kukata tamaa kwenye kufanya shughuli zako za kujiingizia kipato ukikosa Powers of maind basi tunakutizama katika jicho LA MTU ambae bado hujajitambua.

Nimejaribu kukupa baadhi ya hit points
 
Bado upo kwenye Akili mkuu ukishaingia kwenye ufahamu hautosema tena super natural power
 
Hakuna miujiza inayokuja kukupa pesa bila kufanya kazi lazima utoke jasho

Powers of mind ni-ile hali inayokupa furaha ya kupigania malengo yako

Hakuna mtu wala kiumbe chochote kinachoweza kukukatisha tamaa ya kupigania malengo yako ni hali ya ujasili ambayo ipo ndani yako

Hata akiondoka MTU muhimu katika hisia zako haiwezi kusababisha kukata tamaa kwenye kufanya shughuli zako za kujiingizia kipato ukikosa Powers of maind basi tunakutizama katika jicho LA MTU ambae bado hujajitambua.

Nimejaribu kukupa baadhi ya hit points
.....Kumbe unajua kama hakuna miujiza inayokupa pesa bila kufanya kazi!

Thread closed.
 
Back
Top Bottom