TEAM B-13 ushuhuda wangu juu ya supernatural powers

TEAM B-13 ushuhuda wangu juu ya supernatural powers

somo ni refu kwakweli bt inshort kila unachotaka unaassume kwamba umeshakipata unafanya visualization namna unavyokua nacho kama ni hela unataka unaamin kwamba ushazipata unaanza kupanga na matumizi kabsa bila kua na doubt yoyote amini 100% kwamba unazo iyo hali inaenda kuattract pesa ulizotaka popote pale unazipata hiyo ndio law of attraction unaingia kwanza kwenye situation kifikra unaaminisha ur subconscious mind kwamba tayari unacho hapo ndo unakiattract unakipata
...hebu tufungue macho mkuu
....inakuwaje hiyo nguvu
 
kama kuna kitu hujui unatakiwa ujifunze sio kusema mbona hakijulikani unaweza kugoogle kujifunza zaidi sio kubisha kila kitu kuna nguvu kubwa kwenye subconsious mind nguvu inayoweza kufanya kila kitu it works for me na hata matajiri wengi duniani
....Inafanyaje Kazi?

Yaani unahisi unachotaka kupata halafu unafurahia are you normal?( You want somethin' go for it )

Kwanini iwe ni kwa baadhi ya watu na sio watu wote waifahamu hiyo nguvu?

Mwisho acheni kuishi kwa matamanio, Marekani haikujengwa kwa matamanio, People sweat for it!

Alafu kuna mtu hapa ananiambia bangi ni nzuri, hebu subiri nimuonyeshe hili bandiko.

FANYENI KAZI.
 
kwanza kabisa naomba nitoe pongezi zangu za dhati kwako Mshana Jr kwa ku-share hizi nondo zinazohusiana na supernatural powers bila kuwa-ds respect akina Kiranga rakims nk...solute's

Mm ni-mmoja kati ya watu ambao tumejaaliwa kuwa na supernatural powers nafanya mediation pia nimejaaliwa kuweza kuwa na Powers of mind ile nguvu ya ndani ku- wish baadhi ya malengo yangu na kuwa na furaha yani ndani nakuona kama nimeyatimiza am be honesty.

Nimekua nikijaribu kucontro vitu mbalimbali kupitia maind yangu ninauwezo wa kutabili jambo kabla halija tokea japo so kwa 89% naweza kumsoma mtu kabla hajaongea chochote, ninauwezo mkubwa wa kusoma tabia za watu wangu wa karibu

Pia naweza kusoma macho ya MTU nikisha angali macho yako naweza kujua unachoongea ni cha kweli au so kweli .

Bado sijawa mwalimu mzuri wa haya mambo naendelea kuyafatilia kwa ukaribu
Sitaki kukudhalilisha au kusema unaongopa ila nikuulize kitu kimoja: hivi unajua kuna aina ya ugonjwa wa akili unaofanya mtu anajiona kama ana uwezo kama unavyosema lakini kihalisia hana uwezo wowote? Unaweza ku support madai yako na mifano hai? Kuna watu wengi wamedai wana uwezo kama wako lakini walipofanyiwa test na wataalam ikagundulika kuwa hawana. Unaweza kuona kabisa kuwa Mr X alipoongea maneno fulani wewe ulikuwa ''umeshajua'' atakachoongea kumbe kiukweli ni akili zako tu zimekufanya uone hivyo
 
kama kuna kitu hujui unatakiwa ujifunze sio kusema mbona hakijulikani unaweza kugoogle kujifunza zaidi sio kubisha kila kitu kuna nguvu kubwa kwenye subconsious mind nguvu inayoweza kufanya kila kitu it works for me na hata matajiri wengi duniani
....."It worked for me na hata matajiri wengi duniani" Really!!???, Unayosema yangekuwa kweli kusingekuwa na masikini duniani!,

Halafu mbona unawasemea matajiri wengine!, Wewe ni tajiri?
 
Sitaki kukudhalilisha au kusema unaongopa ila nikuulize kitu kimoja: hivi unajua kuna aina ya ugonjwa wa akili unaofanya mtu anajiona kama ana uwezo kama unavyosema lakini kihalisia hana uwezo wowote? Unaweza ku support madai yako na mifano hai? Kuna watu wengi wamedai wana uwezo kama wako lakini walipofanyiwa test na wataalam ikagundulika kuwa hawana. Unaweza kuona kabisa kuwa Mr X alipoongea maneno fulani wewe ulikuwa ''umeshajua'' atakachoongea kumbe kiukweli ni akili zako tu zimekufanya uone hivyo
Sipingani sana na hoja yako bali kuna tatizo LA kutoelewana

Ninapo sema naweza kumsoma MTU kabla ya hata hajaongea simaanishi ww unaetumia keyboard

Namaanisha kwa MTU ambae nipo nae-karibu I mean awe rafiki yangu mpenzi wangu au MTU wangu wa karibu yoyote japo si kwa 89%
 
Back
Top Bottom