Teaching post | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Teaching post

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mfereji maringo, Dec 31, 2010.

 1. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Jamani hivi serikali imeshindwa kuwaajiri walimu wapya wa shahada na stashahada?
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Tafuta tempo ndugu,
   
 3. m

  mzambia JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Haina pesa za kuwalipa zote ziliishia kny uchaguzi
   
 4. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  kulikuwa na mgogoro baina ya wizara ya elimu na wizara inayohusika na ajira. Wizara ya elimu inataka hata wale ambao wana suplimentary waajiriwe ila wale wa ajira wakadai kuwa wataajiri wale waliofaulu masomo yote tu. Hata hivyo wameyamaliza na hata wale wenye sup wataajiriwa ila ndio wa mwisho. Wengine watapaswa kufaulu masomo yote ndio waajiriwe. Mwezi huu mtaingia kazini jipange dogo!
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,118
  Trophy Points: 280
  Laiti ungejua kuwa kila mahali, yaani unaambiwa ukingia kwenye wizara hizo hakuna hata karatasi za printing....mkwere kamaliza pesa kwenye uchakachuaji!!!
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,118
  Trophy Points: 280
  Laiti ungejua kuwa kila mahali, yaani unaambiwa ukingia kwenye wizara hizo hakuna hata karatasi za printing....mkwere kamaliza pesa kwenye uchakachuaji!!!
   
Loading...