teacher

teacher

ndupa

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2008
Posts
4,403
Reaction score
151
nina elimu hadi ya kidato cha sita...nina uwezo wa kufundisha masomo ya sayansi lakini..ninahitaji mwisho kidato cha pili...mahali popote naweza fundisha ata ikiwa nyumbani kwa mwanafunz...
 
nina elimu hadi ya kidato
cha sita...nina uwezo wa kufundisha masomo ya sayansi lakini..ninahitaji
mwisho kidato cha pili...mahali popote naweza fundisha ata ikiwa
nyumbani kwa mwanafunz...

huko mkoa gani?
 
nina elimu hadi ya kidato cha sita...nina uwezo wa kufundisha masomo ya sayansi lakini..ninahitaji mwisho kidato cha pili...mahali popote naweza fundisha ata ikiwa nyumbani kwa mwanafunz...

Mbona unaogopa madarasa mengine ucogope.
 
Mbona unaogopa madarasa mengine ucogope.

Kwani amekwambia kuwa anaogopa?
Tena bora anayekupa taarifa mapema,maana wengine wanaboronga tu!
Kama huna kazi ya kumpa, We unyuti maana Anaujua udhaifu wake mwenyewe kwa kidato zaidi ya hapo!
 
Kasome mdogo wangu. Wenye diploma na degree za ualimu wako kitaa
 
Teaching is a professional and not a noble job. Go and get it, its ethics and so many more about it. Any one can be a teacher but he can not be able to teach cause teaching is multidimensional. Kwa lugha nyepesi======== nenda kasomee ualimu kwanza ndo ujiite mwalimu, usidhalilishe taaluma.
 
waalimu waliopo mtaani ni wale waliokataa wenyewe kwenda vijijini, mashule ni mengi sana yanatafuta waalimu!
 
Acha watu wajaribu bahati zao,Shule nyingi sana bado zina changamoto ya walimu

wanaua elimu. Waraka wa wizara unasema diploma afundishe darasa 5 hadi form 2, first degree f3 & f4, masters 5 & 6. Yeye atafit wapi?
 
Back
Top Bottom