Hawa ndio waliopata vyuo katika raundi ya 1 ya kuomba vyuo.
Aidha kwa wale waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja wanapaswa kuthibitisha chuo kimoja kwa kutumia kodi maalumu watakazotumiwa kwenye namba/barua pepe zao.
subiri round ya pilinikitaka kufanya usaili wa chuo sasa yaani bachelor hivi inawezekana au nimeshachelewa?
Thanks a lot be blessedKesho wanafungua round 2
Thankssubiri round ya pili
Unajaza namba yako ya mtihani kidato cha nneWale walioapply chuo cha NIT, hivi kwenye username mnajaza kitu gani?
Ni namba ya simu, email au majina ya waombaji?
Naona wanafunzi 20,858 wamechaguliwa na zaidi ya chuo kimoja. Mwaka wa jana hili lilikuwa tatizo kubwa ambalo lilipelekea wengine kukosa kile walichokipenda kwani kwa wengine kulikuwa na shida ya ku-confirm ni chuo gani wanakwenda (matatizo ya mfumo). Nategemea TCU mwaka huu wamejipanga vyema juu ya hili au sivyo tutaendelea kuwachanganya wanafunzi na wazazi wao.
Unaiandika kwa mtindo gani hiyo namba ya form four kiongozi..?Unajaza namba yako ya mtihani kidato cha nne
Habari za miaka mdau mwenzangu wa elimu ?Naona wanafunzi 20,858 wamechaguliwa na zaidi ya chuo kimoja. Mwaka wa jana hili lilikuwa tatizo kubwa ambalo lilipelekea wengine kukosa kile walichokipenda kwani kwa wengine kulikuwa na shida ya ku-confirm ni chuo gani wanakwenda (matatizo ya mfumo). Nategemea TCU mwaka huu wamejipanga vyema juu ya hili au sivyo tutaendelea kuwachanganya wanafunzi na wazazi wao.
Hii ipo vp wadau kwamba ambaye hayupo hapo aombe tena?? Au??