TCU yatoa majina ya waliopata vyuo raundi ya kwanza ya udahili

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,440
16,242
Hawa ndio waliopata vyuo katika raundi ya 1 ya kuomba vyuo.

Aidha kwa wale waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja wanapaswa kuthibitisha chuo kimoja kwa kutumia kodi maalumu watakazotumiwa kwenye namba/barua pepe zao.
 
Attachments

  • Undergraduate Multiple Selected Applicants 2019_2020 Round1.pdf
    17.1 MB · Views: 76
  • TAARIFA KWA UMMA - MULTIPLE ADMISSION 1ST ROUND0001.pdf
    946.4 KB · Views: 55
Hawa ndio waliopata vyuo katika raundi ya 1 ya kuomba vyuo.

Aidha kwa wale waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja wanapaswa kuthibitisha chuo kimoja kwa kutumia kodi maalumu watakazotumiwa kwenye namba/barua pepe zao.

Ni TCU ama Vyuo ndio wako responsible kutangaza majina?
 
nikitaka kufanya usaili wa chuo sasa yaani bachelor hivi inawezekana au nimeshachelewa?
 
Naona wanafunzi 20,858 wamechaguliwa na zaidi ya chuo kimoja. Mwaka wa jana hili lilikuwa tatizo kubwa ambalo lilipelekea wengine kukosa kile walichokipenda kwani kwa wengine kulikuwa na shida ya ku-confirm ni chuo gani wanakwenda (matatizo ya mfumo). Nategemea TCU mwaka huu wamejipanga vyema juu ya hili au sivyo tutaendelea kuwachanganya wanafunzi na wazazi wao.
 
Wale walioapply chuo cha NIT, hivi kwenye username mnajaza kitu gani?
Ni namba ya simu, email au majina ya waombaji?
 
Mwaka huu wanatuma confirmation codes kwa namba simu za waliopata multiple selections.

Sijajua zitakuja kwa wakati ama vp.
Naona wanafunzi 20,858 wamechaguliwa na zaidi ya chuo kimoja. Mwaka wa jana hili lilikuwa tatizo kubwa ambalo lilipelekea wengine kukosa kile walichokipenda kwani kwa wengine kulikuwa na shida ya ku-confirm ni chuo gani wanakwenda (matatizo ya mfumo). Nategemea TCU mwaka huu wamejipanga vyema juu ya hili au sivyo tutaendelea kuwachanganya wanafunzi na wazazi wao.
 
Naona wanafunzi 20,858 wamechaguliwa na zaidi ya chuo kimoja. Mwaka wa jana hili lilikuwa tatizo kubwa ambalo lilipelekea wengine kukosa kile walichokipenda kwani kwa wengine kulikuwa na shida ya ku-confirm ni chuo gani wanakwenda (matatizo ya mfumo). Nategemea TCU mwaka huu wamejipanga vyema juu ya hili au sivyo tutaendelea kuwachanganya wanafunzi na wazazi wao.
Habari za miaka mdau mwenzangu wa elimu ?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom