TCU yatangaza alama mpya kwa mwanafunzi kuingia Chuo Kikuu

NOTE.. WENYE GPA NDOGO WATASOMA DEGREE KUPITIA NACTE COLLAGUES KAMA DAR TECH,MBEYA TECH,OPEN UNIVERSITY ETC
VIP kuhusu medical school maana wanye dploma za utabibu walikuwa wepesi zaid kumudu masomo na walisaidia zaid kuelekeza wenzao wanapokuwa clinical area, leo 3.5 wanahesabika wengi wahoo 3.3-3.0 Unawatupa nn unalengaa na ukijua medical doctor baado ni pengo kubwa,, tunamakusudii zahili ya kuongeza wataalamu au tunakomoa wananchii??
 
QUOTE="OIL CHAFU, post: 16857716, member: 88012"]Sasa wakuu hebu nielewesheni, kama mtu amepata C moja na E mbili (CEE), je ataweza kuchaguliwa chuo? Nimejikuta dillema kwa hili maana D 2 ni sawa na points 4. C na E jumla ya points ni 4, sasa hapo sijui inakuwaje? Msaada please

N.B. Alafu, ikitokea kama atapata chuo kwa education, je mkopo kuna haja ya kuapply? ukizingatia ni HKL, naona giza giza mbele[/QUOTE]Sikilizieni kitabu cha muongozo kwanza kama wamebadilisha kwa namna walivyotoa tangazo au lah. Kuhusu mkopo kama alama ni zilezile, jaribuni kuomba anaweza pata mkopo. Ila msikate tamaa.
 
Hapa zinatakiwa C mbili na si vinginevyo, hii bado nyanya sana. Ila wajiandae kuthibiti wizi wa mitihani. Halafu inakuwaje wale wa kiwango cha chini wanaingia university halafu wana-graduate? Kama wanaingia na sifa mbaya halafu wana-graduate basi sifa zao zilikuwa zinafaa - maanake la sivyo kungekuwa na discos za kufa mtu, na pass za kumwaga!
Kufaulu hata kama akiingia na s masomo yote anaweza akafaulu kwa kuwa already alishasoma Olevel hivyo hawezi kuwa mweupe sana unless kama masomo ya science, tatizo kubwa hapo litakuwa tuna watu wenye elimu ya chuo kikuu (vyeti) ila sio competent, minimum entry qualification lengo kuwafanya wanafunzi wanapomaliza chuo wanakuwa more analytical kutokana na kwamba wameingia chuo tayari kichwani wapo vizuri kitaalama hivyo nyongeza ya pale chuoni inawajenga zaidi tofauti na kama ilivyo sasa mtu ana maliza chuo alafu ukimwangalia ni mwepesi kwenye ku analyze issues. Mtu mwenye D and above plus Olevel amepata maksi za kushiba anaelekezeka vizuri zaidi na kwa unahisi iwapo atakwenda ngazi za juu.

Uamuzi mzuri huu wa serikali angalau na vyuo vingine vipate wanafunzi wazuri maana wanafunzi waliotakiwa waende Diploma waliingia University na wale walitakiwa wali-reseat wakaingia Diploma
 
Hapa zinatakiwa C mbili na si vinginevyo, hii bado nyanya sana. Ila wajiandae kuthibiti wizi wa mitihani. Halafu inakuwaje wale wa kiwango cha chini wanaingia university halafu wana-graduate? Kama wanaingia na sifa mbaya halafu wana-graduate basi sifa zao zilikuwa zinafaa - maanake la sivyo kungekuwa na disco za kufa mtu, na pass za kumwaga!
mtu anaweza kuingia na matokeo mabaya chuo kikuuu lkn akagraduate na GPA nzuri tu kuliko aliyeingia na dvs1,,kuna sababu nyingi saaana juu hili some are as follows,,,,, aina ya chuo, aiana ya degree programme, pia mtu anaweza akajielewa vzuri chuo na kufanya bidiii akafanya vizuri,alafu chuo ni partcipatory learning,pia jinsia inachangia eg female with poor entry qualification is likely to do better than male alafu sasa mfumo wa elimu wa chuo kikuuuu n tofauti kabisa na leval za chini............
 
heshima ya degree inarudi. safi sana apo nmekubali kabsa , wangesema mpaka waliopo vyuoni kama huna 3.5 and above urudi tu kwenu
 
Cha ajabu kipo mana zaman ordinary diploma ilikua 2.7 unaenda degree lkn sasa 3.5 thn UQFL6 imekua stoped
nimemaliza diploma mwaka huu kwa mujibu wa tcu sifa tajwa ninazo, naomba mwongozo je naweza kuapply chuo husika moja kwa moja wao wakatuma TCU?? kupata admision?
 
Sasa wakuu hebu nielewesheni, kama mtu amepata C moja na E mbili (CEE), je ataweza kuchaguliwa chuo? Nimejikuta dillema kwa hili maana D 2 ni sawa na points 4. C na E jumla ya points ni 4, sasa hapo sijui inakuwaje? Msaada please

N.B. Alafu, ikitokea kama atapata chuo kwa education, je mkopo kuna haja ya kuapply? ukizingatia ni HKL, naona giza giza mbele
TCU wameshatoa ufafanua. Ndugu yako anachaguliwa kwani amefikisha point 4
 
mtu anaweza kuingia na matokeo mabaya chuo kikuuu lkn akagraduate na GPA nzuri tu kuliko aliyeingia na dvs1,,kuna sababu nyingi saaana juu hili some are as follows,,,,, aina ya chuo, aiana ya degree programme, pia mtu anaweza akajielewa vzuri chuo na kufanya bidiii akafanya vizuri,alafu chuo ni partcipatory learning,pia jinsia inachangia eg female with poor entry qualification is likely to do better than male alafu sasa mfumo wa elimu wa chuo kikuuuu n tofauti kabisa na leval za chini............

Sasa kwa nini baadhi ya employers wakilalamika kupata watu wasio wazuri, baadhi ya ma-lecturer wanasema na sisi tumeletewa wabovu?
 
huu si uonezi wa TCU kwa vijana walio hitimu kidato cha sita mwaka huu 2016,kwani wamesema inawabidi wawe na pts 4 DD wakati D ya mwaka huu ilikuwa ni kuanzia 50 hadi 59 na E ilianzia 40 hadi 49.alafu wanasema walio maliza nyuma wawe na CC wakati C zao zilianzia 40 hadi 49 kwani hizo C za nyuma na E za sasa kuna tofauti gani waache ubabaishaji huko ni kuhujumu watoto wa maskini waliosoma kwa shida shule za kata na kuwanufaisha watoto wa vigogo.kama pesa hakuna si mseme tu kuliko kuleta figisu figisu hizo ....daima maskini watabaki chini tu
 
usijali ase, sio mwisho huo soma special diploma one more year kaza buti next year utaingia degree
 
Najua kuna vile vyuo vya kinjanja lazima vifungwe wakinà SAUT maanake products (wahitimu) wake mmmmmhhhh majanga kwa Tanzania
 
Najua kuna vile vyuo vya kinjanja lazima vifungwe wakinà SAUT maanake products (wahitimu) wake mmmmmhhhh majanga kwa Tanzania
Your comment can plausibly describe who you are.

Unaweza kutwambia kwa uthibitisho huo ujanja ujanja wa SAUT?

Please ficha ujinga wako.
 
Back
Top Bottom