TCU yaondoa majina ya waliochaguliwa mtandaoni, KULIKONI?

Ngalikivembu

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,959
872
TCU ilikuwa imekwisha weka majina ya waliochaguliwa vyuoni pamoja na waliopata mkopo na waliokosa mkopo.Lakini ghafla majina hayo ymeondolewa pasipo kuelezwa chochote. Awali tuliokuwa tunaangalia majina hayo tulikuwa tunapata tabu sana kufungua kwani mtandao wao ulikuwa haufunguki na kwa wale waliofanikiwa kuona walichukua muda mrefu sana kufungua. Vipi tuamini walikosea kuweka majina hayo kabla hayajakamilika? Tuwe na hisia za uchakachuaji?
 
Kuna siku nakumbuka ilikuwa mwezi wa saba kuna hackr wa india waliivamia.. Ilitangazwa ktk baadhi ya tovuti. I dnt knw whats goin on right now maana tCu walisema haina tatizo.
Ni kweli majina yamekuwa hacked mkuu??
<br />
<br />
 
Jamani nimekuta jina langu kwenye body ya mkopo lipo udsm so ndipo nilipopangiwa au? So hamna haja ya kuwasubiri tcu?
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
angalia wana andika na course kabisa. Hangera mkuu.
thnx ndugu yangu tatizo wametoa 3475500
sasa sijui ni ya miaka mitatu au mmoja, je ni ya ada tu?
 
Back
Top Bottom