Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,284
- 10,665
Product za ud sio ndio zimefanya nchii hii kuwa nyuma kwa kila kitu kuanzia elimu,uchumi,siasa utamaduni,michezo na maeneo mengine mengi tu.Product za ud hasa hao wanasheria sii ndio wanaliingiza taifa katika mikataba mibovu,hao product wa ud sio ndio wameshindwa hata kuboresha elimu.Yaani wana elimu ya makaratasi tu lakini ubora wa elimu yao katika maendeleo ya taifa hili ni ya kusikitisha.
Bora sasa vyuo vimeoongezeka na ile tabia yao ya kula hela za application sh 30000 kwa kila mwanafunzi sasa zimefika mwisho.Utaratibu wa kulipia application kwa vyuo vyote kupitia TCU bila shaka umewaweka pabaya na umesaidia kupunguza gharama kwa wanafunzi hasa kutoka familia maskini.
Miaka 50 ya uhuru product za ud zimeshindwa kuongeza vyuo vya umma na kubaki na vyuo vya kuhesabu.Tunashukuru mashirika ya kidini,taasisi na watu binafsi kuongeza vyuo vikuu.
Product za ud si ndio vinara wa ufisadi na sio ndio maana taifa letu liko nyuma kwa kila kitu.Poduct za ud si ndio zimeshindwa kutumia maliasili za taifa kugharamia elimu ya juu na badala yake wanafunzi kunyanyasika na mikopo ya bodi wakati wao walisoma bure.
Nimeipenda sana hii post yako maana tusiongelee wanaoingia ila tuongelee wanaotoka wamelifnyia nini taifa mpaka tuseme ud inaongoza ktk ukanda wa afrika mashariki?