Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,679
- 5,165
Vumilia tu ndio nchi yetu hii [emoji24] [emoji24] [emoji24]hivi tcu wanatuletea lini majibu yetu maana tunekaa vichwa vinatuuma kwa ajil ya hizo post. kiukweli hawapo wazi katika mchakato wao wa uchaguzi inatakiwa watupe taarifa ya kutoa post tumechokaaa...
Wanatoa ijumaa
Una uhakikaWanatoa ijumaa
Source pleaseWanatoa ijumaa
maana! huu utan mwengne haufaiNmeongea na tcu wanasema wanatoa after 2 weeks
Everyone predictDaah, tupeane update ya vyuo ambavyo vimeshatoa, mkiona kcmc, hubert kairuki, archibishop iringa, campala na bugando mtushtue, watu Ata kula tunashindwa mana stress kila kukicha
Bugando na kampala wametoaDaah, tupeane update ya vyuo ambavyo vimeshatoa, mkiona kcmc, hubert kairuki, archibishop iringa, campala na bugando mtushtue, watu Ata kula tunashindwa mana stress kila kukicha