FredaF
Senior Member
- Sep 11, 2016
- 161
- 67
Ya pili chuo gani umepata?Nlikosa ya kwanza nimepata ya pili mkuu
Ya pili chuo gani umepata?Nlikosa ya kwanza nimepata ya pili mkuu
Cjajua cz wameniandikia nime be selectedYa pili chuo gani umepata?
Ebu jaribu ku view rejection reason uone kama vyuo ulivyoomba round ya pili vinaonekana! Na unipe majibu mkuu, samahani lakiniCjajua cz wameniandikia nime be selected
Technical error anagalia rejection reasons unanielewaaRound ya kwanza na ya pili zote nilikosa, sasa ndio nashaangaa naambiwa nimeselectiwa
Mkuu ulitaka zije za pili wakati za pili hawajakukatalia?.Technical error anagalia rejection reasons unanielewaa
Havionekani kwa sababu hujakataliwa,wanaonyesha first selection kwa sababu ndio ilikataliwa.Pia jaribu kuangaia view selection uone wanakuandikiaje?.Ebu jaribu ku view rejection reason uone kama vyuo ulivyoomba round ya pili vinaonekana! Na unipe majibu mkuu, samahani lakini
Weee kuwa muelewaaa ikiwa umeomba vyuo 5 awamu ya kwanza.... UkakosaMkuu ulitaka zije za pili wakati za pili hawajakukatalia?.
Click view selection.Weee kuwa muelewaaa ikiwa umeomba vyuo 5 awamu ya kwanza.... Ukakosa
Then ukaomba wamu ya pili ilipaswa kuonyesha awamu ya pili.....
Kuna tatzo katika system zetu na tunaitajo IT kutoka RwandaMe mbona niki view rejection reason zinakuja kozi nilizoomba round ya kwanza tu, za round ya pili haziji, why this?
mm mweneyewe hivyohivyo but wa diploma so uhakika au inakuaje hapooooHapana wananiambia nimechaguliwa