Ok poaOok endlea kuptia tu kk
Hahahahaha sawa kijana haina shida mzee wa HR 666we kiazi kichizi pepa ya 2011 ilivyomaji vile umelamba div 3 ya 24 ha ha ha pole sana jiandae ku disco chuo
kasome sana chuo sawa acha mchezo mchezoHahahahaha sawa kijana haina shida mzee wa HR 666
Sanaa mkuu maana nlikuwa nshaanza kukabidhiwa biashara ya kufanya ili niapply mwakanNaona mmefurahi wenyewe ha ha ha
Na wewe uliingia kwenye round zote mbili na je round ya pili ulikosa?
Naona mmefurahi wenyewe ha ha ha
pole sana kijana kakomae sasa ushapata nafasi teyali usiichezeeSanaa mkuu maana nlikuwa nshaanza kukabidhiwa biashara ya kufanya ili niapply mwakan
ha ha ha mm round ya kwanza tu wamoNa wewe uliingia kwenye round zote mbili na je round ya pili ulikosa?
Ntakomaa kiaina mkuu cz leo nimeenda kufata Chet na wenzangu wote wamepata vyuo yaan ilikuwa mm tuu so namshukuru sana Mungupole sana kijana kakomae sasa ushapata nafasi teyali usiichezee
Kwani round ya kwanza na ya pili ulikosa?Ntakomaa kiaina mkuu cz leo nimeenda kufata Chet na wenzangu wote wamepata vyuo yaan ilikuwa mm tuu so namshukuru sana Mungu
Nlikosa ya kwanza nimepata ya pili mkuuKwani round ya kwanza na ya pili ulikosa?