TCU wameshafungua profile ingia uangalie

TCU wameshafungua profile ingia uangalie

Joined
Jul 11, 2016
Posts
96
Reaction score
53
1476131024726.jpg
 
Hata mimi naona imeniandika hivyohivyo sasa sijui ikoje hii
 
Inaonyesha nimepata
 

Attachments

  • 1476131908898.png
    1476131908898.png
    19.6 KB · Views: 38
Me mbona niki view rejection reason zinakuja kozi nilizoomba round ya kwanza tu, za round ya pili haziji, why this?
 
Round ya kwanza na ya pili zote nilikosa, sasa ndio nashaangaa naambiwa nimeselectiwa
 
Back
Top Bottom