TCU wamefeli kutumia CODES, kinachofanyika ni chuo husika wanapiga simu kwako moja kwa moja kuthibitisha kama waenda chuoni hapo

Kwa kupitia huu uzi nimejifunza kitu.
Kumbe wengi mnasubiria kwenda chuoni.
Nendeni tu, labda itasadia hata zile thread za mambo fulani zitapungua humu.
Nendeni mkasome kwa amani
 
Back
Top Bottom