TCU wamefeli kutumia CODES, kinachofanyika ni chuo husika wanapiga simu kwako moja kwa moja kuthibitisha kama waenda chuoni hapo

TCU wamenifanya nisiwemo kwenye first batch ya SUA ***** wametoa leo roho imeniuma kichiz

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee ndio natumiwa code muda huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni mfano dhahiri wa kinacho endelea-TCU na Vyuo mawasiliano yamekatika. Ilambona anapata code kutoka TCU wakati SUA ambako alitaka ku-confirm wametotoa batch ya kwanza. Yaani coordination kati ya kichwa na viungo imekata.
Je wanataka kusema mkuu huyu lazima aombe tena?
 
Daaa roho imeniuma sana kaka yani code napata saa sita usiku kesho mm nitawapigia SUA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni mfano dhahiri wa kinacho endelea-TCU na Vyuo mawasiliano yamekatika. Ilambona anapata code kutoka TCU wakati SUA ambako alitaka ku-confirm wametotoa batch ya kwanza. Yaani coordination kati ya kichwa na viungo imekata.
Je wanataka kusema mkuu huyu lazima aombe tena?
Afu nikiingiza hio code inakataa na kusema kua Applicant not found in multiple admission hali kua jina langu limetokea SUA na Mipango dodoma duuu kweli BONGO NYOSO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ambao mpaka sasa hatujapata code tuendelee kuomboleza......ila Wallah mie yangu macho, nasubiri tu afu nikose chuo najivika mabomu
 
Back
Top Bottom