TCU vipi Diploma Guidebook?

sawa ila nacte awawezi huska na selection moja kwa moja wanachofanya ni kusubmit matokeo ya walio apply before tcu na watachanganua waliokizi vigezo vilivyowekwa na tcu then tcu kuchukua hao na kuwafanyia selection kupitia cas nacte awausiki tena hapo ndio maana ulisikia nacte wakisema wanafanya mchakato wa kuchambua wenye sifa ila sio kuwachagua chuo
 
jamani huko nacte kunani mbona ni kalenda everyday
 
Nyinyi kaeni nyumbani hakuna diploma kwenda degree mwaka huu
 
Tuendelee kuvuta subira maana heri inakuja mpaka tarehe 15/8.
 
Ole wenu mlete hiyo sheria yenu ya GPA 3.5
 
Hivi sasa ni sa 7 na nusu usiku tarehe 15.08.2016...badooo...ngoja nitafute namba nisome!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…