Acha dhalau dada angu! Unamanisha jamaa hakusoma kwa bidii? Si ndo hivo
Mimi sipo kwenye GPA uizungumziayo laiti ungejua usinge sema hivo my dear!Nawewe hujafikisha GPA husika? pole sana my dear
Nkanga chief nimekusomakwa masomo yapi ww ccm hueleweki? sema ufaulu wako wa science
Mimi sipo kwenye GPA uizungumziayo laiti ungejua usinge sema hivo my dear!
Naona dada angu uwelewa mdogo! Nisawa na kuona wenzako wakiumia alafu wewe ukawa unashabikia kwa unafiki! Sasa ili kukufurahisha tukwambie upo sahihi ukisemacho wewe lkn ungekuwa unabusara na hekima ungejua namna ya kumsaidia mwenzako kimawazo kuhusiana na tatizo alilo nalo sidhani kama jamaa alipost ilikukufurahisha bali lengo lake kubwa ilikua ni kuhitaji msaada ki mawazo, wewe pasipo kujua hilo ndo maana ulilopoka vile! USAMEHEWE BURE my dear.kama ni hivyo hayakuwa yanakuhusu haya mpendwa vipi kushadadiiia??
Nikweli mkuu nimeachana nae.Ndugu, Achana nae huyu mwanamke ni Average mind. Anajifanya much know and she won this life.
Naona dada angu uwelewa mdogo! Nisawa na kuona wenzako wakiumia alafu wewe ukawa unashabikia kwa unafiki! Sasa ili kukufurahisha tukwambie upo sahihi ukisemacho wewe lkn ungekuwa unabusara na hekima ungejua namna ya kumsaidia mwenzako kimawazo kuhusiana na tatizo alilo nalo sidhani kama jamaa alipost ilikukufurahisha bali lengo lake kubwa ilikua ni kuhitaji msaada ki mawazo, wewe pasipo kujua hilo ndo maana ulilopoka vile! USAMEHEWE BURE my dear.
Acha kutumia maneno makali kwa "member"
Kurudishiwa Hela Ya NACTE ni sawa Coz Hii ni NON-REFUNDABLE pale tu itakapokwendana na TERMS husika Za NACTE ambazo moja wapo ni GPA ya = or > 2.7, lakini ikumbukwe Kwamba NACTE wenyewe ndiyo walio violet terms zao hususan hii ya GPA kwa Kueka iwe = or > 3.5 .Nazungumzia HAKI yao ya kurudishiwa fedha Walizotumia kuomba mkopo na udahili kupitia HESLB na NACTE respectively kabla ya TAMKO la TCU la tarehe 11/7/16
Nafikiri kwa hiyo diploma nenda nacteSorry naombeni kuuliza maana mi Sija elewa wala sijawahi kufanya applctin. guide book 2016/2017 katika vyuo vya afya ngazi ya diploma INA sema kuwa kujiunga na ngazi ya diploma lazma uwe na technician certificate NTA LEVEL 5 au uwe umepita Advance.SAS swali langu ni kuwa.ukiwa umemaliza form IV na ukawa una minimum pass of C &D katika masomo yako yote 9 (tukiachana na ya Dini na mengine) afu ukitaka Ku apply labda CLINICAL MEDICINE ngazi ya diploma ssa Ina maana unachaguliwa au vepe? msaada wenu wakuu.
Mkuu iko hiviKurudishiwa Hela Ya NACTE ni sawa Coz Hii ni NON-REFUNDABLE pale tu itakapokwendana na TERMS husika Za NACTE ambazo moja wapo ni GPA ya = or > 2.7, lakini ikumbukwe Kwamba NACTE wenyewe ndiyo walio violet terms zao hususan hii ya GPA kwa Kueka iwe = or > 3.5 .
Sasa kwahili NACTE wamekiuka Masharti dhidi ya wateja wao! kwahiyo Sheria ya Nonrefundable itakuwa automaticaly haifanyi kazi tena.
Ila Kuhusu la HESLB, hapa alieaply Mkopo na Huku akijijua au Hajijui Kuwa Anavyo Vigezo Stahiki, Basi Huyu Hapaswi Kurudishiwa Hela Yake.
Kwani Kubla ya Kufunguwa Milango ya Kupokea Maombi, walitanguliza GuideBook na Kusema Kuwa Yeyote Ambaye Hatafikia kiwango cha = or > DD au = or > 3.5 GPA mtu huyo Asiombe Mkopo.
Sasa Hapa Aliyeomba atakumbwa na sheria ya Nonrefundable na wala HESLB hawahusiki.
Acha kutumia maneno makali kwa "member"
okNgoja TCU waione thread wata kujibu
Subiri mkuu nimekaa macho hadi saa hii leo ni tarehe 1/8/16 lakini bado hola TCU..
Amini nakuambieni, hiyo kauli yako, nakunukuu "member" mwisho wa kunukuu, INAVUNJA UMOJA WA KITAIFA na MTANGAMANO hapa jukwaani.
Natamani wewe na rubii muombe radhi kwa kweli.
wote ndio walewale !
Na mambo yao ni yale yale