Leo ni tarehe 31 mwezi wa saba na nimewahi kuamka ili nijidomee guidebook na kuchagua zangu vyuo mapema lakini hola. Sijaweza wala nini. Badi cas inasema hafi tarehe 31tena wakati ndo leo.
Hiyo guidebook yenyewe bado.
Na ile elfu 30 ya waloomba mkopo before 11July wakiwa na 2.7 -3.4 GPA haijarudishwa.
tusubiri tu mkuu mm mwenyewe naangalia website yao kila wakati kama mgonjwa hata ile waliyotoa mwanzo walichelewesha kidogoLeo ni tarehe 31 mwezi wa saba na nimewahi kuamka ili nijidomee guidebook na kuchagua zangu vyuo mapema lakini hola. Sijaweza wala nini. Badi cas inasema hafi tarehe 31tena wakati ndo leo.
Hiyo guidebook yenyewe bado.
Na ile elfu 30 ya waloomba mkopo before 11July wakiwa na 2.7 -3.4 GPA haijarudishwa.
kwa masomo yapi ww ccm hueleweki? sema ufaulu wako wa scienceSorry naombeni kuuliza maana mi Sija elewa wala sijawahi kufanya applctin. guide book 2016/2017 katika vyuo vya afya ngazi ya diploma INA sema kuwa kujiunga na ngazi ya diploma lazma uwe na technician certificate NTA LEVEL 5 au uwe umepita Advance.SAS swali langu ni kuwa.ukiwa umemaliza form IV na ukawa una minimum pass of C &D katika masomo yako yote 9 (tukiachana na ya Dini na mengine) afu ukitaka Ku apply labda CLINICAL MEDICINE ngazi ya diploma ssa Ina maana unachaguliwa au vepe? msaada wenu wakuu.
Wamjibu hivyooo JeiEf Expert Meeembaaaa?acheni kupanik Sikh INA Massa 24 sasa wewe ulijua TCU Ni mgahawa kuwa wanadamkia kuuza chai ..halafu hukufuatilia pia guidebook ya degree walisema hvyo hivyo ILS waliwek kwenye SAA tatu usiku sasa kijan usilalmike wakati Sikh bado haijaisha ...subir ifike kesho ndo ulete Uzi wako
Mkuu, ajenda yako kuu ni ipi ?
1. Guidebook
2. Application Fee
3. GPA
?????
Rubii nina GPA x such that x>4.4
Hapo nataka wale wa below 3.5 watendewe haki.
NB. Hadi sa hii cas.tcu.go.tz hakusomeki
Rubii nina GPA x such that x>4.4
Hapo nataka wale wa below 3.5 watendewe haki.
NB. Hadi sa hii cas.tcu.go.tz hakusomeki
Nazungumzia HAKI yao ya kurudishiwa fedha Walizotumia kuomba mkopo na udahili kupitia HESLB na NACTE respectively kabla ya TAMKO la TCU la tarehe 11/7/16HAKI ? Haki gani, kama ni"haki ya kusoma digrii" kwanini unawasemea wenye GPA ya kuanzia 2.7 ? Nashauri ungeanza na GPA ya 2.0 maana 2.7 na 3.5 vyote ni vigezo vinavyonyima "HAKI" ya kupata elimu ya juu kwa baadhi ya watu.
Kwa majumuisho niseme tu kwamba kama tutaamua kuangalia suala la kuingia chuo kiHAKI, basi kusiwe na VIGEZO maana ukiweka kigezo chochote maana yake kuna mtu unamnyima "HAKI".
Acha dhalau dada angu! Unamanisha jamaa hakusoma kwa bidii? Si ndo hivoWangelisoma kwa bidii zote yasingewakuta haya!
acheni kupanik Sikh INA Massa 24 sasa wewe ulijua TCU Ni mgahawa kuwa wanadamkia kuuza chai ..halafu hukufuatilia pia guidebook ya degree walisema hvyo hivyo ILS waliwek kwenye SAA tatu usiku sasa kijan usilalmike wakati Sikh bado haijaisha ...subir ifike kesho ndo ulete Uzi wako
Nazungumzia HAKI yao ya kurudishiwa fedha Walizotumia kuomba mkopo na udahili kupitia HESLB na NACTE respectively kabla ya TAMKO la TCU la tarehe 11/7/16