Gmpa
Senior Member
- Aug 1, 2016
- 137
- 46
Poa mkuuf6 mkuu
Poa mkuuf6 mkuu
Ya kwako imeandikaje mkuu
round tatuNatumaini mu wazima wa afya.
Naomba kufahamu hivi selection za TCU hua zinaenda mpaka round ngapi ..? maana wamesema kuna 2 round Je 3 round IPO wakuu?????
Nawasilisha
Ndugu, Mzumbe hamna hiyo courseView attachment 398402ilionesha hivyo mida ya saa nane then by saa 9 ikagoma nimewachekia wengine kama watatu wote inasema hawamo
mkuu ata kama umemaliza mzumbe 2009 kuwaupdated itakuwa vizuri hiyo coz imeanza mwaka jana na kuna wanafunzi pale tayari wanaisoma mwaka huu itakuwa second intakeNdugu, Mzumbe hamna hiyo course
Labda kama ni mpya ianzishwe mwaka huu lol
yaa mwenyewe kuna wakati profile yangu ilikuwa inaingiliana na ya watu wengine, nimeingia kwenye profile za almost watu 6 na wanne Hawakuwa na points 4 nahisi ni wengi sana wameomba sijui itakuwaje kuna lecturer wa bagamoyo alisema wapo elf 16 na kama watazuiwa wote vyuo vingi vya binafsi vitakosa wanafunziNatafuta wale vichwa ngumu jamani chini ya point nne(3.9) ndalichako amewapa nafasi ya kwenda degree, ,, maana niliona uzi wanasema system imekubali kuomba leteni mrejesho jamani
Ooh okay. Kama hivyo vizurimkuu ata kama umemaliza mzumbe 2009 kuwaupdated itakuwa vizuri hiyo coz imeanza mwaka jana na kuna wanafunzi pale tayari wanaisoma mwaka huu itakuwa second intake
angalia guide book ya 2015_2016 na ya 2016_2017