Tcu nayo noooouma

Aug 13, 2012
16
0
Kwa wale ambao wamechaguliwa faculty ambazo hawakuomba nawashauri waende kwan kwa mujibu wa majibu niliyopata kutoka kwa mtu fulani huko tcu anasema kuwa,"kwa wale ambao watataka kuomba 2nd round appl.itakuwa ni bahati sana kupewa vyuo,hivyo ni bora waende halafu kwenye suala la mkopo watarekebishiwa" mwisho wa kunukuu
 
Back
Top Bottom