Hivi ule mpango wa kufungua Vyuo Vikuu Tanzania nzima kwa mwezi mmoja kwa mwaka wa Masomo 2017/2018 upo au? Maana Nilisikia itakuwa hivyo ili kuepuka masumbufu ya Mkopo kuchelewa vyuoni kama ilivyo nyakati za Nyuma!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.