sasa na chuo kipi ndugu. kama chuo nilichokuwa selected ni NIT,na walivyotoa first banch jina langu lilikuwe ila juzu NIT wametoa second na third banch jina langu halipo?
Kwani unaelewa nini maana ya second batch au third batch!!!!!!!!!!!!! wewe jina lako si liko first batch sasa ya pili au ya tatu inakuhusu nini boss!!!! kuna vyuo vinatoa mpaka batch sita boss kwa hyo we cha kufanya sakua hyo batch one uone kama jina lako limenyofolewa na humo, Ahsante