[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii vawulensiii kwa OP, muhurumieni bas.We ndo kichwa maji mmoja , uliyepata division four, ukasoma diploma hizo alafu unashindwa kusoma udaktari kutokana na vigezo, Ina maana diploma ya C.O hukuiona? unataka unifundishe nini?
Hizi diploma lengo lake kubwa ni kuwaspecialize watu at a lower level Ili wakivuka mitihani Yao ya Nacte na kuenda kusoma tena kitu kilekile na experience kutokana na fields walizofanya inawashape kuwa Bora zaidi kuliko kuwe na mikanganyiko kama unayoitaka.
.
Mtoa mada anadhani elimu mteremko si angeenda PCB😅Yaan hadi anachekeshaa kuwa kweliii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaanii pharmacy haruhusiwii hata kumwekeaa mgonjwa hata dripu la majii halafuu eti akasome MD uhuruu umezidiiYaan hadi anachekeshaa kuwa kweliii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anasema kasoma PCB mzumbe, kamaliza 2010,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtoa mada anadhani elimu mteremko si angeenda PCB[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si wanasemaga advance ni kupoteza muda, leo wana lia lia nn sasa?Yaanii pharmacy haruhusiwii hata kumwekeaa mgonjwa hata dripu la majii halafuu eti akasome MD uhuruu umezidii
Hujaelewa wapi?, umeona mimi nimeshangaa au umemeza ARVs mapema?Sasa kinacho kushangaza hapa n nn? Km kweli ulipitia hivyo vyote.
Kwa case ya engineering na afya ni tofauti, hoja yangu imekuja kwa sababu ya basics za afyaHuko Uganda sijuii coz Wana syllabus Yao but bongo hapa mfano kwenye Engineering ukisoma diploma ya civil engineering huwezii kwenda kusoma degree ya electrical au mechanical lkn aliyemaliza form six PCM yeye anasoma kozii yeyote anayotaka ya Engineering
Umeona mimi nimelalamika wewe matter core?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nani unamtisha hapaa? Wee ndo unaelia lia na mfumo unaokataa Dip ya Lab na pharm kutokwenda MD.
mie nilipita njia yangu iliyonyooka na kufikia hapa nilipofika, na ndo maana sijalalamika na silalamikii.
Poleeeeeeh.
Mashaka yako yanaletwa na nini?Nina mashaka na elimu ya mtoa Mada
Kinachochekesha nini?Yaan hadi anachekeshaa kuwa kweliii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba kurlewa hutaki?Anasema kasoma PCB mzumbe, kamaliza 2010,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwa hasira hizii, MD utaisikia kwa wenzio tyuuh.Hujaelewa wapi?, umeona mimi nimeshangaa au umemeza ARVs mapema?
Poleeee wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeona mimi nimelalamika wewe matter core?
Hizo hasira umeziona ww na unataka hiyo MD NI RESEAT au?[emoji16][emoji16]Kuwa hasira hizii, MD utaisikia kwa wenzio tyuuh.
Poleeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna wajinga wanatafuta huruma kwenye majukwaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii vawulensiii kwa OP, muhurumieni bas.
Poleeee yako kwa kwelii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizo hasira umeziona ww na unataka hiyo MD NI RESEAT au?[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zinauma kwa kuchekaa.Kuna wajinga wanatafuta huruma kwenye majukwaa.
Mtu kapata division three ya 13 form six, akaamua adumbukie diploma, hizo guidelines hakuziona?
Labda hakufika advance, kala four au three , akaamua asome njia ndefu, uchaguzi alifanya mwenyewe, hatukuwepo sisi kumuamulia then anaanza kufokafoka anadhani sisi ni kama yeye?
Waliosoma diploma ya maabara, au Pharmacy hawaruhusiwi kusoma MD, Kwa wakati huo huo aliyemaliza kidato cha sita anaruhusiwa hivi nini hoja yao kuhusu hili?
Kwanza Mzumbe kuna PCB kweli?Anasema kasoma PCB mzumbe, kamaliza 2010,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]