TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,787
- 4,262
- Thread starter
-
- #21
Mimi nilisoma PCB, nalimaliza mwaka 2010 Mzumbe, na nimesoma MD,na baadae BMLS MUHAS na KCMC, unalaziada?Ndio maana hujaenda PCB advance, ndo akili yako ilipoishia
Labda hivi vyuo GYA SASADiploma ya pharmaceutical science hata wenye F wanasoma ndo maana wamejazana sana hujajiuliza kwa nni?
Sijawahi kufuatilia hii aiseDiploma zote za afya kuanzia clinical medicine, nursing and midwifery, medical laboratory nk lazima uwe ume faulu phys ila kwa pharmaceutical science hata update mswaki unasoma
Ndo mana wengi wanakimbiliaga huko kwenye pharmaceutical science ndo utakuta wapo hata 700 kwa intake moja kwa sababu ya kufeli hiyo phys ingawaje wengi walitamani wasome kada zingine za afya ila phys imewatema.Sijawahi kufuatilia hii aise
Mtu anapoleta mada usije ukadhani yeye ndiye mhitaji, kama unataka tushindane kwa kuweka mavyeti kama wahaya njoo, kifupi ukisikia maana ya Nsomili ndio mimi sasa[emoji1][emoji1]Km hiyo level ya Diploma, clinical medicine imekushinda, MD unataka ukafanye nn? Unacheza na kada ya Afya??
Ok! I now knowNdo mana wengi wanakimbiliaga huko kwenye pharmaceutical science ndo utajuta wapo hata 700 kwa intake moja kwa sababu ya kufeli hiyo phys ingawaje wengi walitamani wasome kada zingine za afya ila phys imewatema.
Labda kwenye vyuo vya private coz kwenye vyuo vya serikali Kuna competition kubwaNdo mana wengi wanakimbiliaga huko kwenye pharmaceutical science ndo utajuta wapo hata 700 kwa intake moja kwa sababu ya kufeli hiyo phys ingawaje wengi walitamani wasome kada zingine za afya ila phys imewatema.
We kweli kiazi.Muongozo unaotumika ni huo huo mmoja kwa vyuo vyote haijalishi serikali au private maana vyote vipo chini ya Nacte.Labda kwenye vyuo vya private coz kwenye vyuo vya serikali Kuna competition kubwa
Kichwa maji kweli [emoji16][emoji16][emoji16]yaani hata hujui kuna uhusiano gani kati ya diploma na bachelor na kidato cha sita na bachelor, mfano UGANDA , ukisoma diploma ya pharmacy mfano unaweza kusoma MD au Maabara au Pharmacy,kwanini ni basic gan wanayo izingatia ili hali wote mnaanza kusoma kozi zile zile?Acha ujinga wewe.
Aliyesoma diploma ya Pharmacy Kuna digrii yake na aliyesoma maabara kuna digrii yake, kwanini unataka uchanganye mambo. Yaani ni sawasawa eti mtu kasoma diploma ya Sheria eti akasome sociology.
Wale wa form 6 wanasoma Physics, Chemistry na Biology ambapo unawapa nafasi ya kusoma kada ya afya anayoitaka kutokana na ufaulu aliopata.
Wewe ndiyee kiazii nimemaanisha kwa sababu ya competition kuwa kubwa ni ngumu kumpata mtu mwenye F ya physics akisoma pharmacy kwenye vyuo vya serikali mbona unakazaa fuvuuWe kweli kiazi.Muongozo unaotumika ni huo huo mmoja kwa vyuo vyote haijalishi serikali au private maana vyote vipo chini ya Nacte.
We ndo kichwa maji mmoja , uliyepata division four, ukasoma diploma hizo alafu unashindwa kusoma udaktari kutokana na vigezo, Ina maana diploma ya C.O hukuiona? unataka unifundishe nini?Kichwa maji kweli [emoji16][emoji16][emoji16]yaani hata hujui kuna uhusiano gani kati ya diploma na bachelor na kidato cha sita na bachelor, mfano UGANDA , ukisoma diploma ya pharmacy mfano unaweza kusoma MD au Maabara au Pharmacy,kwanini ni basic gan wanayo izingatia ili hali wote mnaanza kusoma kozi zile zile?
Sasa kinacho kushangaza hapa n nn? Km kweli ulipitia hivyo vyote.Mimi nilisoma PCB, nalimaliza mwaka 2010 Mzumbe, na nimesoma MD,na baadae BMLS MUHAS na KCMC, unalaziada?
Huko Uganda sijuii coz Wana syllabus Yao but bongo hapa mfano kwenye Engineering ukisoma diploma ya civil engineering huwezii kwenda kusoma degree ya electrical au mechanical lkn aliyemaliza form six PCM yeye anasoma kozii yeyote anayotaka ya EngineeringKichwa maji kweli [emoji16][emoji16][emoji16]yaani hata hujui kuna uhusiano gani kati ya diploma na bachelor na kidato cha sita na bachelor, mfano UGANDA , ukisoma diploma ya pharmacy mfano unaweza kusoma MD au Maabara au Pharmacy,kwanini ni basic gan wanayo izingatia ili hali wote mnaanza kusoma kozi zile zile?
π π π πKama bichwa lako bomu si unatulia tu we matter core
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nani unamtisha hapaa? Wee ndo unaelia lia na mfumo unaokataa Dip ya Lab na pharm kutokwenda MD.Mtu anapoleta mada usije ukadhani yeye ndiye mhitaji, kama unataka tushindane kwa kuweka mavyeti kama wahaya njoo, kifupi ukisikia maana ya Nsomili ndio mimi sasa[emoji1][emoji1]
Nina mashaka na elimu ya mtoa MadaSasa kinacho kushangaza hapa n nn? Km kweli ulipitia hivyo vyote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We kweli kiazi.Muongozo unaotumika ni huo huo mmoja kwa vyuo vyote haijalishi serikali au private maana vyote vipo chini ya Nacte.
Huweziii kuwa msomii kama ulivyojieleza hapo halafu ukashindwa kujuaa vitu vyepesii kama hiviiWaliosoma diploma ya maabara, au Pharmacy hawaruhusiwi kusoma MD, Kwa wakati huo huo aliyemaliza kidato cha sita anaruhusiwa hivi nini hoja yao kuhusu hili?
Yaan hadi anachekeshaa kuwa kweliii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nina mashaka na elimu ya mtoa Mada