Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 953
- 413
Nani amekwambia Medicine tunataka vilaza, tofautisha mapenzi na uwezo ,unamapenz na MD ila huna uwezo wakusoma MD ,akili zako ni ndogo mdogo wangu, MD ni akili kubwa huku.
Kwa medicine na kwa chuo kama Muhas na kwa BRN na kwa mwaka huu ambapo Combination kama PCB, CBG distinction za kumwaga ,huyo dogo acha nimwite kiraza.
Noma sana we jamaa,,,uko chuo gani?!
Asante T.O
Hawa madogo hawafikiriagi tatizo na hata ushauri kuomba tatizo, ndo anakuja kulialia saizi
Honestly unatumia maneno makali xana. Ina onekana unajikuta unajua xana VP GPA zako ni za 5.0 nn na VP huwa unasifiwa una akili xana nini? Ndo maana unamkandia dogo wa watu.?
Nawasiliishaa!!
Sijifanyi najua ,ukweli nikuwa najua , natatizo lenu hampendi kuambiwa ukweli madogo
Na udsm pia kuna gpa za 2.7 ka tatu ivi nmeziona medicine so kuchaguliwa pia inategemea na connection yakoThis time,ukiona umechaguliwa MUHAS na UDSM kwa upande wa MD ujue umefaulu sana,kwa wenye ufaulu wa kawaida ndo wengi wamekwenda hvyo vyuo vingne!
Duh!mkuu umetumia maneno makali sana,nahisi huyo dogo kashavunjika moyo tayari..!
Kilaza wewee nenda Eagle wings college ukasome Medicine, Muhas hatutaki vilaza
Busara zangu sio kwa vilaza mkuu, Dogo ni kilaza huyoHilooo, kwanza sasa hiyo elimu 'akili kubwa' inakusaidia nn kama hata busara za kumjibu mtu mwenye umri mdogo kuliko wako unashindwa, mkuu tafuta pia elimu ya nje ya darasa, hiyo ya darasani haitoshi..
You are educated but not yet civilized!!! Au unasubiri kufundishwa communication skills na ethics ndio upate Busara!!?
Busara zangu sio kwa vilaza mkuu,
Wewe ni Tanzania One(T.O) wa Mwaka gani form six?
Answer honesttly.
Busara zangu sio kwa vilaza mkuu, Dogo ni kilaza huyo
chalii huo ni ulimbukeni na kutokujitambua.we unamafanikio gani umegundua nini mpaka unamwita mtu kilaza