TCU mtatuua kwa presha

Lazima uwe na demu wa kukuriwaza mkuu si unajua masomo magumu la sivyo utapata supplementary kila semester
Kupata sup university mda mwengne n kutaka mwenyew.
Nan kakwambia kua na dem muhmu ila ukumbuke kule kuna watoto wa virus.
Sasa ukivamia vamia unaweza ukaja kujinyonga ata kabla ujamalza chuo.
 
Kupata sup university mda mwengne n kutaka mwenyew.
Nan kakwambia kua na dem muhmu ila ukumbuke kule kuna watoto wa virus.
Sasa ukivamia vamia unaweza ukaja kujinyonga ata kabla ujamalza chuo.
Watoto wa virusi ???, [emoji88][emoji88][emoji88][emoji88][emoji88]
 
Tunatumia condoms mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] condom unaiamin sana.
Ila maauz n yako mkuu cwez kukuzuia, jiingize tu kwenye mapenz chuon alaf utaleta mrejesho mwenyew.
Kule hakufai kumechafuka na kila mmoja kule anaish maisha ya kuact il tu umuone kuwa mataw ya juu lakn kumbe n mweupe [emoji3][emoji3][emoji12]
 
No problem they way u ar.......issue is what u ar focused... Mavaz mbwembwe tu Jaman
 
Kuwaka must [emoji3][emoji3][emoji4][emoji4]mnaoponda nyie ni wale sizitaki hizi mbichi
Nani asiyependa kuwaka
 
Lazima uwe na demu wa kukuriwaza mkuu si unajua masomo magumu la sivyo utapata supplementary kila semester
Aaa wap kama kuanzia elmu ya secondary ckuwa nao mpaka nafka chuo iyo miaka ya chuo mbona nitapita kwa uwezo wa Mungu kama uku kwngne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…