SAMWEL MBALASWA
Member
- May 5, 2018
- 7
- 0
Acha basi na wewe hivyo,yaani chuo kifungwe kisa una tofauti na uongozi uliopo madarakani,kikifungwa hao wafanyakazi wanaofanya kazi hapo kuanzia wafanya usafi mpaka uongozi wa juu wakale wapi?,kwa nini isiseme TCU iyafanyie kazi mapungufu yaliyopo ?Ngugu zangu,
Chuo hiki kinachoitwa Tumaini Makumira kituo cha Mbeya au SHUCO imekuwa ni tatizo katika Swala zima la elimu ya vijana wa Kitazania.
Tangu Mwaka 2017 katika kati, nimekuwa nikimwandikia Mkurugenzi Mtendaji wa TCU ili kuangalia chuo hiki kwa jicho la pembeni.
Nashukuru kwamba ukaguzi ulifanyika baada ya walimu 7 kuacha kazi kwa mkupuo mnamo February 2017 na kuondoka na course work za wanafunzi huku wengine wawili wakiacha mapema Novemba 2016.
Baada ya hapo nilishangaa kuona wanafunzi wanahitimishwa, ashukuriwe Mungu TCU iliamua kufuta uhitimishwaji ambao ungefanyika mwezi 12 mwaka.
Soma Attachements mbili uone kinachoendelea huko;
Ninaomba Serikali ifunge hiki chuo kama ilivyopendekzwa na kamati ya Quality Assurance ya TCU ili wanafunzi hao wakaendelee na masomo Tumaini Makumira Arusha.
Kwa sasa kuna wanafunzi 18 wanaotakiwa kufukuzwa chuo kwa kosa la kudai haki ya kuhamishiwa Arusha.
Serikali isifumbue swala hili macho, fedha nyingi zinatumika kusomesha wanafunzi hao.
Nshawahi kuona vyuo vya hovyo hapa nchini ila hiki namba moja "unyakyusa" umeua chuo
Ndicho tunachotaka,huwezi kuwaweka watoto wa watu pale halafu wakidai haki yao unatishia kuwafukuza,Fikiria tu kuna wanafunzi hawajahitimu tangu mwaka jana,kwa kifupi TCU ilizuia Graduation, fikiria waliokuwa na ruhusa kazini na walitakiwa wawe wamepeleka vyeti vya kuhitimu kwa waajiri. Unafikiri wanaelewekaje/?Hope ujumbe utawafikia wahusika
Nafikiri Location is not a problem,it has a god geographical location ever seen, tena ndio ingepata wateja wengi sana. Tatizo uongozi ulifanya Extravagance then Kanisa likawaacha tu,TRA walifunga majengo ya Utawala tangu mwaka jana mwezi December mwanzoni na sijui kama walilipa hiyo kodi ya sh karibu milioni 130.ha!ha!ha!ha!ha pia location ya chuo haikuangalia Wateja!kwa jiografia ya Mbeya chuo kinachoweza kukaa uyole ni kile kilichojengwa na serikali tu!sio private.
Kama vile upo pale,yaani wameweka Unyakyusa Mbele badala ya Academic.Nshawahi kuona vyuo vya hovyo hapa nchini ila hiki namba moja "unyakyusa" umeua chuo
Hapo umegonga Msumari wa 18".Najiuliza sana hivi vyuo vya makumira mbona vina usani usanii mwingi,mnaharibu sifa ya vyuo vingine ambavyo viko under makumira, mbeya campus kuna shida kubwa kweli,naimani mleta mada ,uongelee yote,kuhusu mitihani ilikuaje??mpaka kufikia wachungaji kutishia kuuana kwenye vikao vya senate.....
Niliwahi tembelea hicho chuo mwezi feb 2018. Kwa kweli hali ni mbaya wanafunzi hawasomi na kuna baadhi wanishi hostel za nje yaani wanachofanya humo hostel hawa wanafunzi wa kike ni balaa. Wanahitaji maombi kama siyo serikali kuingilia kati
Ulipotembelea pale ndio kulikuwa na sekeseke la Walimu 7 kuacha kazi kwa mkupuo, nikiwakumbuka wachache( Mwl Peter Chaula,History) sasa yupo SAUT MBEYA, SAMSON KYANDO ,Sasa yupo SAUT MBEYA,(Geography), Zimkulile Very Well Mkondya)English sasa yupo TEKU, na wengine wengi. Hapo wengine waliondoka October 2016.Niliwahi tembelea hicho chuo mwezi feb 2018. Kwa kweli hali ni mbaya wanafunzi hawasomi na kuna baadhi wanishi hostel za nje yaani wanachofanya humo hostel hawa wanafunzi wa kike ni balaa. Wanahitaji maombi kama siyo serikali kuingilia kati
Tatizo moja tu,Acha basi na wewe hivyo,yaani chuo kifungwe kisa una tofauti na uongozi uliopo madarakani,kikifungwa hao wafanyakazi wanaofanya kazi hapo kuanzia wafanya usafi mpaka uongozi wa juu wakale wapi?,kwa nini isiseme TCU iyafanyie kazi mapungufu yaliyopo ?
Funguka mkuu wanafanya nini hao wanafunzi...Niliwahi tembelea hicho chuo mwezi feb 2018. Kwa kweli hali ni mbaya wanafunzi hawasomi na kuna baadhi wanishi hostel za nje yaani wanachofanya humo hostel hawa wanafunzi wa kike ni balaa. Wanahitaji maombi kama siyo serikali kuingilia kati