TCU Mkifanya hivi. . . . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCU Mkifanya hivi. . . .

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kurzweil, Jul 18, 2012.

 1. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 3,827
  Likes Received: 2,902
  Trophy Points: 280
  Kama wadau wengine walivyo na hamu ya kujua vyuo walivyopangwa mimi shahuku yangu ni matokeo kutolewa kabla ya 15 August kwa maelekezo niliyopewa ni kwamba chuoni 1st year wanatakiwa kuripoti wiki mbili kabla ya wanachuo wengine kufungua. Kama watatoa matokeo mapema hii itatusaidia kufanya maandalizi ya kutosha ingawa binafsi nimeanza taratibu kujiweka sawa.
   
 2. t

  thatha JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,210
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  unajiandaa!!, usipochaguliwa utasema chadema wamesababisha usichaguliwe.
   
 3. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,563
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  nimecheka kweli! Propaganda za Magamba, kila kitu wanasingizia chadema
   
 4. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,563
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  mkuu hongera kwa kujipanga sawasawa! Hilo la kabla ya August 15 umejulia wapi?
   
 5. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 3,827
  Likes Received: 2,902
  Trophy Points: 280
  Napenda iwe kabla ya 15 August lakini sijui itakua lini.
   
 6. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 5,067
  Likes Received: 1,490
  Trophy Points: 280
  Never trust anything from this system unless it's already done, or utakuwa unajiumiza bila cost yoyote.
   
 7. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,837
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mwaka jana ifm walikwenda tarehe 5/10,so inaweza ikawa mwezi wa kumi
   
Loading...