TCU Kwa kutokuwa CURRENT!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCU Kwa kutokuwa CURRENT!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mgimiloko, Sep 3, 2012.

 1. M

  Mgimiloko Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani baada ya kuongeza muda wa 2nd round,hii sasa sijui tuiite 3rd round? Hadi tarehe 7 tena mwezi wa 9.....Namna Heslb si 18?
   
 2. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Daah hawa kweli ni watu wa ajabu, kuna watu wanawahi kufungua vyuo cjui hawajui? Yan ndugu kama ni kweli wametuweza makabwela, ila tuombe Mungu sana.
   
 3. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  jiandaeni wakuu majina yanatoka af umepangiwa chuo kinachofungua kesho yake hahaha
   
 4. f

  fahad1208 Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hiyo inawahus wale wa diploma{NTL 6 Level} ambao walishindwa kuapply kwenye 2nd around
   
 5. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Sasa hawa jamaa sijui watapata nini,nafasi zilizobaki wazi ni sawa na hakuna kitu. Nafasi ya mtu kupata chaguo lake ni ngumu sana, Namshukuru Mungu nilipata 1st round.
   
 6. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  sidhani kama hii itaathiri heslb,hawa wanajishughulisha zaidi na direct applicants.
   
Loading...