TCU kwa hili la Recognition of Prior-Learning (RPL) hamjatenda haki

fyabho

Member
Jul 6, 2017
71
69
Baada ya TCU kutangaza fursa ya elimu ya juu kupitia progamu maalum ya Recognition of Prior-Learning (RPL) kwa ambao wana dip, cert, baada ya uzoefu kazini watu waliojitokeza kua apply kupitia online ni wengi. lakini changamoto iliyokuwapo ni namna mtandao ulivyokuwa unagoma upload baadhi ya docs ikiwamo picha, vyeti na nakala nyingie.

Niilipowapigia TCU kupitia helpline hawakuwa na msaaada wowote zaidi ya kusema endelea kujari ku upload. matokeo yametoka jana kwa waliofuzu na ambao hawajafuzu kufanya hiyo programu waliyoiita RPL. mmi ni kati ya waliokosa licha ya kuwa na vigezo, nina experiende kazini zaidi ya three years, nina dip pia.

Majina zaidi ya 300 wamekosa kisa tatizo ni ku upload vyeti na makosa mengine lakini suala la ku upload liliwakumba wengi, je mlilenga kuzichukua sh. 50,000 kwetu katika usajili wakati mkijua mfumo wenu wa usajili mtandaoni ni mbaya? fikiri sh. 50,000 zidisha kwa 300, mmepata sh. milioni 15 ambazo hata hivyo walioomba hawajanufaika.
 
Watu si wanaomba direct vyuoni?,wewe huko TCU unatafuta nini?
 
Ulishindwa nn kusafiri kufanyia officn kwao,,, maswala ya application

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
N

Nipo hapa hapa dar, mkuu, lkn jiulize aliye Mwanza ilikuwaje? Mfumo wao mbaya, alafu kibaya zaidi nilipokuwa na view profile yangu kama nimefanikiwa wakaniletea matokeo ya mtu mwingine kabisa ambaye ningekuwa mkorofi mtandaoni ningebadili vitu vyake vyote, maana CV, vyeti alivyoattach viliwezekana kueditika
 
Back
Top Bottom