immasakha
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 489
- 281
TANGAZO MUHIMU!
TCU imetambulisha mtihani unaoitwa "Recognition of Prior Learning(RPL)" kwa wale wote waliokosa vigezo vya kujiunga na degree
Mtihani unafanyika chini ya TCU kwa vituo vilivyoainishwa, na kwa wale watakaofaulu mtihani watapata nafasi yakujiunga na degree chuo chochote hapa nchini kwa mwaka huu wa masomo
Muda wa maombi ni kuanzia 01.06.2017 mpaka 24.06.2017
Kwa Maelezo zaidi tafadhali piga 0759009281, 0655414145 au 0778888960
Tusambaze ujumbe kwa ndugu zetu walioshindwa kusoma degree kwa kutokidhi vigezo, hii ni FURSA ya kipekee!
Karibuni Sana
Reg,
The Open University of Tanzania.