TCU kuna shida gani?

mgungani

Member
May 13, 2022
38
60
Mwanangu ana division 2 EGM. Nimetuma maombi online vyuo sita tofauti kwa kozi mbali mbali, nashangaa sioni alikochaguliwa.

Je, amekosa nafasi? Hana sifa? Au nimekosea kutuma? Je, kuna majina mengine au nifanye nini.

Nilotuma application online na ilikuwa succssful. Wajuzi naombeni ushauri way forward, mtoto yupo JKT.
 
Mwanangu ana division 2 EGM.nimetuma maombi online vyuo sita tofauti kwa kozi mbali mbali.nashangaa sioni alikochaguliwa.je amekosa nafasi? hana sifa?au nimekosea kutuma?je kuna majina mengine au nifanye nini.nilituma application on line na ilikuwa succssful.wajuzi naombeni ushauri way forward.mtoto yupo JKT.
Muombee batch two katika vyuo visivyo na ushindani Kama TEKU nk
 
Omba tena. Wamefungua dirisha awamu ya pili. TCU wanadai watoto wali kosea sna kujaza. Pia kuna mawakala mnao watumia. Wana piga pesa tu afu hawafanyi Aplication za vijana.
Msaidie mwanao ww mzazi. Au muongoze stationery.
Refer ITV taarifa saa 2 usiku.
 
Mwanangu ana division 2 EGM.nimetuma maombi online vyuo sita tofauti kwa kozi mbali mbali.nashangaa sioni alikochaguliwa.je amekosa nafasi? hana sifa?au nimekosea kutuma?je kuna majina mengine au nifanye nini.nilituma application on line na ilikuwa succssful.wajuzi naombeni ushauri way forward.mtoto yupo JKT.
Shida inawezekana ni uchaguzi wa kozi uliofanya dhidi ya passmark ya mtoto ambayo labda inakwama kwenye ushindani. Kwa mfano ukichagua kozi ambayo wengi walioomba kozi hiyo wana division one, ni wazi kuwa mwanao mwenye division two atashindwa kupenya kwenye ushindani.
 
Omba Tena,dirisha limefunguliwa la kipindi Cha pili...halafu mtu kamaliza a level anashindwaje kuomba mwenyewe!!?..hao watoto Wana shida gani siku hizi!!!?
 
Mwanangu ana division 2 EGM. Nimetuma maombi online vyuo sita tofauti kwa kozi mbali mbali, nashangaa sioni alikochaguliwa.

Je, amekosa nafasi? Hana sifa? Au nimekosea kutuma? Je, kuna majina mengine au nifanye nini.

Nilotuma application online na ilikuwa succssful. Wajuzi naombeni ushauri way forward, mtoto yupo JKT.
Ana 2 ya point ngapi? Je,principles zake zipoje?
 
Mwanangu ana division 2 EGM. Nimetuma maombi online vyuo sita tofauti kwa kozi mbali mbali, nashangaa sioni alikochaguliwa.

Je, amekosa nafasi? Hana sifa? Au nimekosea kutuma? Je, kuna majina mengine au nifanye nini.

Nilotuma application online na ilikuwa succssful. Wajuzi naombeni ushauri way forward, mtoto yupo JKT.
umeangalia moja kwe moja kwe vyuo au majina waliotoa TCU?
 
Back
Top Bottom