TCU jina lipo, Chuon Halioni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCU jina lipo, Chuon Halioni

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mwl Mkwaya, Aug 27, 2012.

 1. Mwl Mkwaya

  Mwl Mkwaya Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  WanaJF dogo langu, amekuwa selected na TCU cbe dar, lakin katika majina yaliotoka CBE chuon halioni jina lake....nn mshauri nn???
   
 2. E

  EJay JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hilo pia limemkumba rafiki yangu anayechaguliwa MUCCOBS.
   
 3. F

  Freeman Patrick Senior Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hata mm, nimechaguliwa udom bt ckuona jina langu kwenye website yao walivyoyatoa
   
 4. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  ASEE ni inbox number zake kuna mtu kachaguliwa huko nataka wajuane wapange pange mambo c unajua tena
   
 5. Brown ad

  Brown ad JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 347
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  sasa wapange pange nn wakati mwenzako jina chuoni halioni? Kuna mijitu mizito kuelewa loh!
   
 6. R

  Rebo's Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Duh kilio cha wengi...? Mi pia nimechaguliwa CBE dar bt jna langu halipo kwenye website yao. Ila najpa moyo coz 2po weng.
   
 7. JOAQUEM

  JOAQUEM JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 1,441
  Likes Received: 731
  Trophy Points: 280
  Wewe jipe moyo pasipokufuatilia kule tcu halafu habar yako utaiona me ni mmojawapo nimeenda chuoni wakaniambia jina langu halijafika kule nikarudi tcu nikawaeleza wakacheki kwenye yale majina yaliyorudishwa na chuo pia simo kuona ivyo wakaniambia et nifanye 2rd application nikawagomea ndo wameniambia nisubirie kwaiyo hapa kuna hatari ya kuchinjiwa baharin
   
 8. BOFREE

  BOFREE Senior Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Jamani tcu sijui vp mimi nimechaguliwa mzumbe lakini kwenye list ya mzumbe simo sasa hapa nilipo sijui nifanye nini
   
 9. h

  harty kaminus Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dats ni problem ndogo mi nimeenda tcu leo wamesema kesho c ndo mwisho wa kuuapply second round xo ni baadhi ya majina ndo yaliyopelekwa vyuoni xo kesho wakishafunga ile deadline ndo wataupdate majina yaliyobaki pamoja na yale ya second round ndo watapeleka vyuo vyote na majina yata be printed out by tcu xo kitu ka ijumaa hv yatakuwa on hewa xo be ready guys wish ol of u luck gatchaaaa!!!!
   
 10. Ja60

  Ja60 JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 254
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Xo u mean kwamba hata ucpofuatilia wata update 2 au kuna haja ya kufuatilia..!
   
 11. Mwl Mkwaya

  Mwl Mkwaya Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Duh! Dogo yupo zenji hivyo fasta aje kufuatilia....tnx Man!
   
 12. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #12
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah kaka ngoja 2wait, nashukuru sana nimepata ahueni kdg.
   
 13. S

  Sirbuni Senior Member

  #13
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wakifanya hivyo watakuwa wametuondolea wasiwasi tuliokuwa nao....
   
 14. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #14
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Ushauri wenu wadau! Mke wangu amepata vyuo viwili. Amepata MUM kwa kozi ya Education kupitia usaili wa MUM na si CAS ya TCU. Na kwenye usaili wa TCU pia amepata nafasi lakini tofauti na kozi aliyoipata. Na pia jina lake limetoka late sana na matokeo ya jumla ya TCU. Je, kwa mkanganyiko huu kuna uwezekano wa kupewa mkopo na bodi ya Mikopo?
   
 15. F

  Freeman Patrick Senior Member

  #15
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dah, i've now bin relieved, i had already over-panicked...
   
 16. Mwl Mkwaya

  Mwl Mkwaya Member

  #16
  Aug 29, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hapo labda asikilizie admission namba yake itatokea kwa chuo kipi
   
 17. sakya

  sakya Member

  #17
  Oct 9, 2014
  Joined: Jul 17, 2014
  Messages: 20
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 5
  Hahahahahahahahahahahahahahahahhahahhahaaaaaaaa kaka utaniua.
   
 18. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2014
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Hii imemtokea dogo yeye amechaguliwa ISW
   
Loading...