TCU hili halijakaa sawa kabisa, siamini kuwa hamulioni!

TCU hili halijakaa sawa kabisa, siamini kuwa hamulioni!

Kumbe ni wale wale tu mwaka huu mtakoma.
Subirin mpaka JPM atoke madarakan ndio mkapge degree.
Kama msuli wa sayans mgumu mbona kuna watu wana GPA nzur na huku cha six kuna vijit kibao sasa kama wewe kwel mwanasayans kwanin usipate kama wenzako.
Tatzo ni mapuuzo ya masomo mwisho wa cku mnajuta
Yawezekana umesoma hgl ndio maana unaandika usilolijua
 
Kwani aliyesoma sayansi anaanzia wapi kusema sayansi ni ngumu wakati wanaosoma sayansi wanatwambia sayansi ni rahisi!. Mtu wa arts ndiye akisema sayansi ngumu ntamuelewa kwakuwa labda alishindwa kuisoma, sasa na wewe uliyeisoma na kujiona unaiweza unasemaje ni ngumu.
 
Mada hii ngum kumeza, kila MTU anavutia kwake, mi niseme tu kuwa kila kitu ni kigumu, lkn kimoja kinazid chemzie, pia mitaala yetu inachangia kwa kias kikubwa watu wengi kutopendelea kusoma sayans, ikichangiwa Na uhaba wa maabara, walim na n.k
 
Dunia iko ilivyo leo kutokana na wanasayansi wasiokata tamaa kutufunulia yaliyojificha.

But wanahitaji udhibiti wa arts ili tusipotee mazima. Maana hawaishi kujaribujaribu hata kama wanakoelekea kubaya.
 
Kweli mtu uwez ukasoma what ia slave trade ukawa unafikiria wew kufili kwako point to NULL
Arts->null thinking capacity
Jitu zima unasoma historia ya mkwawa aibu una
 
Duniani na mbinguni hili linaeleweka kabisa bila mawaa! Kamwe masomo ya sayansi hayajawahi kuwa na uzito sawa na masomo ya arts!

Kwamba kidume aliyetusua Physics - D, Chemistry - D, Advanced Mathematics - D ni sawa na sharobaro aliyetusua History - D, Kiswahili - D, Language - D

Halafu wote wakawekwa kwenye mizani sawa ya pointi 4!

-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Yaelekea nyie watu wa TCU mmesoma Arts kwa hiyo hamjui muziki wa science!

Na ndio maana hata courses za afya mfano Medical Degree haina classification sijui upper second, sijui lower second, nk! Au hata ukija kwenye mitihani ya bodi ya uhasibu NBAA mtu anatafuta CPA miaka sio ajabu hata 6!

Rudia Mtihani kama umepata C ya math kwa uwezo wako wa science upate A ya arts.
Then habari imeisha.
 
Mtu anae compare arts na science muulize maths ana mgapi 0'level mtu swali eti mwanafunzi wa form six.(effects of slave trade )unatakana ufanye comparison hapo. Wew unatakua akiri zako zina --->to NULL jitu zima unasoma historia ya ulimbobo alafu unajihita msomi eti profesa wa kiswahili shiiiit
 
Haaah

nirudie wapi wew kwan wew unajua npob wapi
Akiri iksha poiint--->>> unawaza ovyo tu

Hehh una account mbili humu JF?
Hauna budi kurejea mkuu, mana wazo kapewa mwengne kajibu mwengine.
Hii ndo tofaut ya art na science, science anasolve art anasoma na kufahamu.
Urejee tu.
 
Ni Kweli Kuna Utofauti Ila Kwenye Mizani Lzm Yakae Sawa D Ya History Ndio Hy Hy D Ya Physics Ila Ungetoa Point Kuwa Kwa Wa2 Wa Science Point Ziwe Kwa Kiwango Flani Kuliko Arts Ningeona Point Yako Ya Maaa Ila kutaka Kuwapa viwango tofauti c sawa
 
Kweli mtu uwez ukasoma what ia slave trade ukawa unafikiria wew kufili kwako point to NULL
Arts->null thinking capacity
Jitu zima unasoma historia ya mkwawa aibu una
Ww mwenyewe unasoma history au hujui niambie km umegundua log mpya au theory mpya na km huipende history ondoa kumbukumbu zko zote choma moto
 
Naungana na mtoa mada kwa jambo hili.
Science sio mchezo, ni lazima taifa liweke mkazo kwa kutengeneza mazingira ya kuvutia wanafunzi wavutike kusoma masomo ya science.
Angalia taifa linavypata tabu kupata waalimu wa sayansi.
 
Kweli mtu uwez ukasoma what ia slave trade ukawa unafikiria wew kufili kwako point to NULL
Arts->null thinking capacity
Jitu zima unasoma historia ya mkwawa aibu una
Hayo maneno ungewaambia walioweka mtaala na si wasomaj
Mnan'gang'ania sayans kumbe hamuiwez mbona huku wenzenu wameweka vijit flat
 
haahahaahaaa waambien na A ya masomo ya sayans ianze 50 bac
C mnataka kufaulu
 
Usihofu mwaya..una priority nyingi..mkopo,kazi utapata kiulaini,mshahara mnono.komaa na science tuu dogo usikate tamaa
 
Jamn
Ww mwenyewe unasoma history au hujui niambie km umegundua log mpya au theory mpya na km huipende history ondoa kumbukumbu zko zote choma moto
wana art uta wajua tu akiri finyo huwez soma historia ukawa na akiri kwan madakatri au ma engineer uwa wakitatua matatzo kutumia taahaluma uwa wanasoma historia jamn arts jamn akili finyo kama chelewa ya ufagio
 
Hivi serikali mbona huwa haitoi amasa kwa wanafunzi kusoma masomo ya arts ujulize ata wew kuwa arts ni pumbaaa
 
Back
Top Bottom