Duniani na mbinguni hili linaeleweka kabisa bila mawaa! Kamwe masomo ya sayansi hayajawahi kuwa na uzito sawa na masomo ya arts!
Kwamba kidume aliyetusua Physics - D, Chemistry - D, Advanced Mathematics - D ni sawa na sharobaro aliyetusua History - D, Kiswahili - D, Language - D
Halafu wote wakawekwa kwenye mizani sawa ya pointi 4!
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Yaelekea nyie watu wa TCU mmesoma Arts kwa hiyo hamjui muziki wa science!
Na ndio maana hata courses za afya mfano Medical Degree haina classification sijui upper second, sijui lower second, nk! Au hata ukija kwenye mitihani ya bodi ya uhasibu NBAA mtu anatafuta CPA miaka sio ajabu hata 6!