Watu hawajui jinsi ya kuchagua pie, Nilipata changamoto Kama hii na nikapewa Elimu ya namna gani mtu unatakiwa kuapply kutokana na matokeo yako .Hili swala linawakumba sana waliokuwepo JKT wakati application zinafanyikaNa ndio maana tunasema hawako sawa..!
Pia wenye shida hapo si UDSM bali ni TCU..!
Kama hukuchagua chuo kimoja tuu huenda kuna ambacho umepata kati ya ule uchaguzi wako ila sio iyo ifmHawa TCU wanachofanya sio kitu kizur naona
Mfano mimi nilikosa 1st selection ikabidi niombe tena mara ya pili nikaomba IFM ambapo hiyo kozi ilikuw zilikuwa zimebaki mafasi 38 tu,cha ajabu watu waliochagulia ni zaid ya hao 38 na nimekosa,ukiingia katika profile unaambiwa system is temporary closed! So na kwa sisi tuliokosa second selection hatma yetu inaakaje hapo? Hebu tusaidiane wakuu
sasa sababu nyengne n ip MkuuKupata two au one sio sababu ya kuchaguliwa first round
Me naona kama UNABISHANA na TCU wenyewe...Sijakuelewa bado!
Hawapo sawa kwasababu wanachagua mtu yeyote tu aliyefaulu kwenda UDSM.... Au hawapo sawa kwasababu gani hasa?
Kwani ni lazima mtu achaguliwe UDSM? Na nani alisema UDSM wanaenda waliopata division 1 na 2 pekee?
Vyuo vipo vingi na vyote wanachulua mtu yeyote ilimradi amekidhi vigezo yaani amefaulu.
Ndio maana yeyote anayefaulu anaenda popote.
Sawa...Kupata two au one sio sababu ya kuchaguliwa first round
Daaah! Kwa kuandika tu , ni ngumu kunielewaSawa...
Tupatie sababu ya kutochaguliwa first round..!
Hivi kweli kuna vigezo vingine zaidi ya vile unavyoviona pale unapoangalia program details kabla ya kuchagua program husika..!?Daaah! Kwa kuandika tu , ni ngumu kunielewa
Mwaka wangu nilitemwa kwa uzembe wa kuchagua, vigezo vinabadilika kutokana na ufaulu kwa huo mwaka, hivyo unavyoviona wakati wa kuchagua ni Vigezo vya chini kabisa vya kukupeleka hapo chuo, kuna baadhi ya course vigezo ubadilika kwa kushuka au kupandaHivi kweli kuna vigezo vingine zaidi ya vile unavyoviona pale unapoangalia program details kabla ya kuchagua program husika..!?
Swala kubwa sio vigezo coz asilimia kubwa ya wanaoapply tayari wana sifa za kuomba hiyo program, ila muhimu ni kujua utaapply vipi ili system ya TCU isikutemeHivi kweli kuna vigezo vingine zaidi ya vile unavyoviona pale unapoangalia program details kabla ya kuchagua program husika..!?
Sawa...Swala kubwa sio vigezo coz asilimia kubwa ya wanaoapply tayari wana sifa za kuomba hiyo program, ila muhimu ni kujua utaapply vipi ili system ya TCU isikuteme
Nitajaribu kukueleza kwa ufupi kwa kadri ya uwezo wangu.Sawa...
Ebu nipatie hiyo ELIMU mkuu..!
Kisha..!?Nitajaribu kukueleza kwa ufupi kwa kadri ya uwezo wangu.
Kwanza kabisa pima matokeo yako binafsi na wengine, jaribu kufuatilia matokeo kwa mwaka huo yapoje(ninabase Kwa form six),kama ni sayansi au arts angalia matokeo mengine pia,Chunguza ufaulu kwa shule bora zaidi, za Kati na chini, ili upate jua wewe upo katika nafasi gani(base sana kwenye masomo unayo chukua (kama sayansi ni sayansi na kama arts ni arts) lakini angalia arts yako ipoje au sayansi yako ipoje kwa programme za chuo unazoweza chagua
Pili.Angalia unafiti wapi kutokana na matokeo yako, angalia competition ya course na ya chuo, angalia course unayotaka inahitaji watu wangapi, sio unachagua course ya wa2 30 kwa chuo cha UD afu matokeo yakawaida (jua private na government student wote mnakusudio moja, huku hakuna madaraja kama tulipotoka)Nitajaribu kukueleza kwa ufupi kwa kadri ya uwezo wangu.
Kwanza kabisa pima matokeo yako binafsi na wengine, jaribu kufuatilia matokeo kwa mwaka huo yapoje(ninabase Kwa form six),kama ni sayansi au arts angalia matokeo mengine pia,Chunguza ufaulu kwa shule bora zaidi, za Kati na chini, ili upate jua wewe upo katika nafasi gani(base sana kwenye masomo unayo chukua (kama sayansi ni sayansi na kama arts ni arts) lakini angalia arts yako ipoje au sayansi yako ipoje kwa programme za chuo unazoweza chagua
Nashindwa endelea bro , ni ngumu kuelezea ninacho maaanisha, maneno mengi sanaKisha..!?
Ngoj tuone nitakupa mrejeshoKama hukuchagua chuo kimoja tuu huenda kuna ambacho umepata kati ya ule uchaguzi wako ila sio iyo ifm
Nachokuambia ndio kilichopo. Mind you mimi sio mwanafunzi.....Me naona kama UNABISHANA na TCU wenyewe...
Kwasababu TCU kabla ya kuchagua program wanakupa kabisa ANGALIZO, kwamba kiwango chako cha ufaulu kitazingatiwa dhidi ya waombaji wengine wakati wa upangaji vyuo...
Sasa sielewi wewe mwenzangu umetowa wapi hiki unachotuambia..!
Wewe ni nani?Nachokuambia ndio kilichopo. Mind you mimi sio mwanafunzi.....