Kaliro X
JF-Expert Member
- Apr 18, 2013
- 749
- 440
Zimepita siku kadhaa Baada ya tcu kutoa taarifa ya baadhi ya waombaji wa vyuo vya elimu ya juu kukubaliwa na waliokataliwa kupewa nafasi hadi tar18 kwaajili ya 2nd round.
Hali ya sintofahamu imejitokeza ambapo kwa takribani siku kama nne hivi sasa mfumo wa udahili TCU cas system haufunguki,
Sasa swali ni je, tcu wana mpango gani na hawa vijana ambao wanatarajia kujiunga na elimu ya juu 2015/2016? Je, tcu wamemekosa mafundi na wataalamu wakutosha kusolve technical problems kamahizi kwa uharaka na ufanisi???
Karibuni tujadili as great thinkers...