Tcu hawatutendei haki

Tcu hawatutendei haki

Zimepita siku kadhaa Baada ya tcu kutoa taarifa ya baadhi ya waombaji wa vyuo vya elimu ya juu kukubaliwa na waliokataliwa kupewa nafasi hadi tar18 kwaajili ya 2nd round.

Hali ya sintofahamu imejitokeza ambapo kwa takribani siku kama nne hivi sasa mfumo wa udahili TCU cas system haufunguki,
Sasa swali ni je, tcu wana mpango gani na hawa vijana ambao wanatarajia kujiunga na elimu ya juu 2015/2016? Je, tcu wamemekosa mafundi na wataalamu wakutosha kusolve technical problems kamahizi kwa uharaka na ufanisi???
Karibuni tujadili as great thinkers...

Mnaokwama Ku access login. Kama unatumia Google chrome. Inakusumbua .basi tumia opera. Namaanisha browser. Kuwa makini unapofanya selection. Utaratibu ni first in first out.Fifo.
 

Attachments

  • 1442298182850.jpg
    1442298182850.jpg
    67.4 KB · Views: 98
Inabidi tuwa challenge vijana . wengi sasa hivi wanaongozwa na mihemko. Mfano huyo anayetaka kwenda dar akafanye nini?. Umemuuliza matokeo yake.. Amekuonesha selection zake?. Tusikurupuke kudanganyana. Tunapaswa kuwa wavumilivu. Katika kipindi hiki.

We man duh..vp we tangu uje dar bhac unataka wenzako wacje hahaha dar yenyewe unakaa tandale kwa st0mach
 
Mnaokwama Ku access login. Kama unatumia Google chrome. Inakusumbua .basi tumia opera. Namaanisha browser. Kuwa makini unapofanya selection. Utaratibu ni first in first out.Fifo.

Bro CAS was shut down since Friday, now imerudishwa jana Jioni. Kama unapata tabu now keep trying maana sababu kubwa kwa sasa ni Traffic, servers wa TCU wakk chini. So its hard aiseeee, jana nikitumia 3hrs kureapply
 
profile yangu haina mabadiliko.capacity bado imeandikwa zero na niliomba kupitia equivalent.
 
profile yangu haina mabadiliko.capacity bado imeandikwa zero na niliomba kupitia equivalent.

watu wnapoandika jambo wajaribuni kuwafahamisha watu vizuri. Ndugu zangu hizo 2nd round application haziwahusu watu wa NACTE(EQUIVALENT) ni kwa ajili ya form six tu. Na kule NACTE hakuna results za selection wao bado ndio maana ukiingia uko utakuta vilevile na utaambiwa maombi yalishafungwa tangu 31/08/2015 na wanakuambia maombi yako yanafanyiwa kazi. Kama kuna mtu wa equivalent mpaka sasa kapata selection atuambie hapa lakini nina imani kama bado this week mambo huenda yakawa poa
 
Back
Top Bottom