TCU hamna lolote mnataka muendeleage kupiga pesa tu..

TADPOLE

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
2,800
9,041
Wakuu habari,kama mnavyojua watoto wetu, vijana wetu,wadogo zetu kuna baadhi wamepata Bahati ya kuchaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali nchini,sasa kuna wale ambao wamepata bahati ya kuchaguliwa vyuo zaidi ya viwili sasa wanachongoja tu hapa ni kupata confirmation code ambazo zinatoka TCU na mwanafunzi atatakiwa aziingize code hizo kwenye chuo atakachopenda kwenda ili athibitishe ya kuwa atakuwa chuo husika mwaka wa masomo ukianza....

cha kushangaza sasa hawa TCU hawajawatumia code watoto hadi muda huyu na deadline ni Leo saa 5:59 usiku..nina mpwa wangu hapa home amenyong'onyea ile mbaya anahisi atakosa bahati ya kuwa chuo husika anachokihitaji..!

kwa mawazo yangu Mimi nadhani hii michezo inafanywa kusudi tu na wahusika ili ionekane kwamba mfumo wa mwaka huu umeshindwa kufanya kazi urudishwe mfumo wa zamani kwamba watu wapangiwe vyuo na TCU ili tu watu waendelee kupiga pesa😂😂 nani asiyependa kupiga mpunga wa bure yakhee!..
zamani kupitia vyuo binafsi vya wababaishaji ambavyo mwaka huu faculties zao na facilities ni dhairi shairi ya kuwa wahusika watatumia kwa ufugaji wa kuku kutokana na kukosa waombaji kabisa wahusika wa TCU walikua wanapiga hela bhana..sasa wanachokifanya sasa ni kuharibu kwa makusudi mfumo ambao kiuhalisia ni mzuri na simple tu ili urejeshwe mfumo ulee wapige hela..nadhani hapa wanajaribu kuzuia mafuriko kwa kutumia bakuli!..TCU wahusika hii janja ya nyani itakuja kuondoka na mtu hapo shauri zenu wahusika fanyeni wajibu wenu bhna.Ridhikeni na kidogo mnachokipata kutoka kwenye mishahara yenu hasira zenu za kunyimwa ulaji msizimalizie kwa watoto wetu jamani..waziri mama Ndali hebu ingilia kati hili swala maana likitokea lakutokea jumba bovu utadondoshewa wewe kama waziri mwenye dhamana..
 
Wajinga sana hao watu
Hata huu mfumo bado una kasoro.
Mtu anachaguliwa vyuo 4 wakati mwenzie hana hata kimoja
Kwanini wasiweke option ya first mpaka third choice ya chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NA KAM
Wakuu habari,kama mnavyojua watoto wetu, vijana wetu,wadogo zetu kuna baadhi wamepata Bahati ya kuchaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali nchini,sasa kuna wale ambao wamepata bahati ya kuchaguliwa vyuo zaidi ya viwili sasa wanachongoja tu hapa ni kupata confirmation code ambazo zinatoka TCU na mwanafunzi atatakiwa aziingize code hizo kwenye chuo atakachopenda kwenda ili athibitishe ya kuwa atakuwa chuo husika mwaka wa masomo ukianza....

cha kushangaza sasa hawa TCU hawajawatumia code watoto hadi muda huyu na deadline ni Leo saa 5:59 usiku..nina mpwa wangu hapa home amenyong'onyea ile mbaya anahisi atakosa bahati ya kuwa chuo husika anachokihitaji..!

kwa mawazo yangu Mimi nadhani hii michezo inafanywa kusudi tu na wahusika ili ionekane kwamba mfumo wa mwaka huu umeshindwa kufanya kazi urudishwe mfumo wa zamani kwamba watu wapangiwe vyuo na TCU ili tu watu waendelee kupiga pesa😂😂 nani asiyependa kupiga mpunga wa bure yakhee!..
zamani kupitia vyuo binafsi vya wababaishaji ambavyo mwaka huu faculties zao na facilities ni dhairi shairi ya kuwa wahusika watatumia kwa ufugaji wa kuku kutokana na kukosa waombaji kabisa wahusika wa TCU walikua wanapiga hela bhana..sasa wanachokifanya sasa ni kuharibu kwa makusudi mfumo ambao kiuhalisia ni mzuri na simple tu ili urejeshwe mfumo ulee wapige hela..nadhani hapa wanajaribu kuzuia mafuriko kwa kutumia bakuli!..TCU wahusika hii janja ya nyani itakuja kuondoka na mtu hapo shauri zenu wahusika fanyeni wajibu wenu bhna.Ridhikeni na kidogo mnachokipata kutoka kwenye mishahara yenu hasira zenu za kunyimwa ulaji msizimalizie kwa watoto wetu jamani..waziri mama Ndali hebu ingilia kati hili swala maana likitokea lakutokea jumba bovu utadondoshewa wewe kama waziri mwenye dhamana..

NA KAMA MFUMO WA CODE UMESHINDIKANA BASI WAFANYE KAMA MWAKA JANA MBONA MWAKA JANA ULIKUWA UNACONFIRM TU NA CHUO UNAPAT
 
kwanza hiyo TCU ingefutwa tu sioni kazi yao wanafanya nini ni kama BASATA ya elimu
 
Back
Top Bottom